-
Haniyeh akosoa njama zinazofanywa na baadhi ya nchi za Kiarabu za kupatana na Israel
Aug 28, 2020 22:07Mkuu wa Idara ya Siasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amezikosoa baadhi ya nchi za Kiarabu kutokana na jitihada zao za kutaka kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 01:59Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Hamas: Ghaza inakabiliwa na changamoto 3 kwa wakati mmoja
Aug 27, 2020 02:57Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema, eneo la Ukanda wa Ghaza hivi sasa linakabiliwa na changamoto tatu kwa wakati mmoja. Amesema, hatua inapasa zichukuliwe ili kutatua changamoto hizo.
-
China yaitaka jamii ya kimataifa ishughulikie mgogoro wa Palestina
Aug 26, 2020 01:56Mwakilishi wa China katika Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kupatikana suluhisho la mgogoro wa Palestina.
-
Shambulizi la anga la Israel laua shahidi Wapalestina 4 Gaza
Aug 25, 2020 03:28Wapalestina wanne wameuawa shahidi baada ya ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel kushambulia kwa mabomu maeneo kadhaa ya Palestina huko mashariki mwa Ukanda wa Gaza.
-
Algeria: Kuitetea na kuiunga mkono Palestina ni katika sera zetu za nje
Aug 24, 2020 23:01Msemaji wa serikali ya Algeria amesema kusimama na wananchi wa Palestina, kuwatetea na kuwaunga mkono nio katika sera za nje zilizopewa kipaumbele na taifa hilo la Kiarabu la kaskazini mwa Afrika.
-
HAMAS yaomba mabunge na viongozi wa dunia waisaidie na kuiunga mkono Palestina
Aug 19, 2020 06:27Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ameyataka mabunge duniani pamoja na viongozi wa kisiasa watoe msaada na uungaji mkono kwa kadhia ya Palestina kwa ajili ya kukabiliana na njama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
-
Uhusiano wa UAE na Israel unalenga kutoa pigo kwa Muqawama na malengo matukufu ya Palestina
Aug 17, 2020 08:46Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema, lengo la makubaliano yaliyofikiwa baina ya Imarati na utawala wa Kizayuni ni kutoa pigo la kuudhuru muqawama na malengo matukufu ya Palestina.
-
Harakati ya Kenya-Palestina yalaani mapatano ya UAE na Israel
Aug 16, 2020 02:16Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina imelaani vikali mapatano yaliyofikiwa baina ya watawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu na utawala ghasibu wa Israel chini ya usimamizi wa makundi ya Kizayuni nchini Marekani.
-
Spika wa Bunge la Iran: Imarati imejidhalilisha kwa kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni
Aug 14, 2020 22:29Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa makubaliano ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano baina ya pande hizo mbili ni ya kijidhalilisha na ni usaliti kwa thamani za Umma wa Kiislamu na malengo ya taifa la Palestina.