Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Palestina yamrejesha nyumbani balozi wake Abu Dhabi baada ya Imarati kuanzisha uhusiano na Israel

    Aug 14, 2020 05:04

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ametangaza kuwa balozi wa Palestina mjini Abu Dhabi ameitwa nyumbani kulalamikia hatua ya Imarati ya kuanzisha rasmi uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.

  • Iran: Uhusiano wa kidiplomasia wa Abu Dhabi na Tel Aviv ni ujinga wa kistratijia

    Iran: Uhusiano wa kidiplomasia wa Abu Dhabi na Tel Aviv ni ujinga wa kistratijia

    Aug 14, 2020 03:37

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani hatua ya kuanzishwa uhusiano wa kidiplomasia baina ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE au Imarati) na utawala wa Kizayuni wa Israel na kutaja hatua hiyo kuwa ni ujinga wa kistratijia ambao bila shaka utapelekea kuimarika mhimili wa muqawama na mapambano katika eneo.

  • Hamas: Wapalestina wanapaswa kuulinda Msikiti wa al Aqsa

    Hamas: Wapalestina wanapaswa kuulinda Msikiti wa al Aqsa

    Aug 11, 2020 02:14

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imewataka Wapalestina wote kutetea na kuulinda Msikiti mtakatifu wa al Aqsa na kukabiliana na njama za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya msikiti huo.

  • HAMAS yaonya kuhusu njama ya kuuyahudisha Msikiti wa Ibrahim (as)

    HAMAS yaonya kuhusu njama ya kuuyahudisha Msikiti wa Ibrahim (as)

    Aug 09, 2020 03:43

    Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS ametoa onyo dhidi ya hatua unazopanga kuchukua utawala wa Kizayuni wa Israel za kuuyahudisha Msikiti wa Nabii Ibrahim (as) ulioko katika mji wa Al Khalil huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Ijumaa tarehe 7 Agosti mwaka 2020

    Ijumaa tarehe 7 Agosti mwaka 2020

    Aug 06, 2020 22:00

    Leo ni Ijumaa tarehe 17 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 07 mwaka 2020.

  • Palestina yalaani mpango wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Quds

    Palestina yalaani mpango wa ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kaskazini mwa Quds

    Aug 02, 2020 05:27

    Serikali ya Palestina imelaani hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kupasisha mpango wa ujenzi wa vitongoji vipya vya walowezi wa Kizayuni huko kaskazini mwa mji wa Quds (Jerusalem).

  • Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Vijana wa Kipalestina wakabiliana na Wazayuni waliotaka kuvamia Msikiti wa al-Aqswa

    Jul 30, 2020 03:02

    Vijana wa Kipalestina wamekabiliana na walowezi wa Kizayuni waliokuwa wakifanya juhudi za kuvamia na kuingia katika Msikiti wa al-Aqswa.

  • Makundi ya Palestina yaonya kuhusu uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel

    Makundi ya Palestina yaonya kuhusu uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel

    Jul 26, 2020 21:00

    Makundi ya mapambano huko Palestina yameonya hatua ya baadhi ya mataifa ya Kiarabu ya kutaka kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Wazayuni wamebomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka 2019

    Wazayuni wamebomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka 2019

    Jul 24, 2020 03:27

    Utawala haramu na dhalimu wa Kizayuni wa Israel ulibomoa nyumba zaidi ya 2,000 za Wapalestina katika mwaka uliopita wa 2019.

  • Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel

    Hamas na Fat'h kuendeleza ushirikiano kwa ajili ya kukabiliana na uvamizi wa Israel

    Jul 23, 2020 08:31

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, harakati hiyo itaendeleza ushirikiano wake na Chama cha Fat'h kwa ajili ya kuanza mapambano yenye malengo dhidi ya utawala vamizi wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS