-
Imam Khamenei: Ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina
Feb 06, 2025 09:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kkiislamu ya Iran amesema kuwa, ardhi yote ya Palestina, kuanzia mtoni hadi baharini ni mali ya Wapalestina.
-
Wapalestina wa Ghaza: Trump ni majinuni, hajui chochote kuhusu ardhi yake mtu, sharafu wala Palestina
Feb 05, 2025 23:56Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wameubeza na kuukebehi mpango wa Rais wa Marekani wa kuwataka wahame moja kwa moja katika ardhi yao hiyo ya Palestina ili kupisha ujenzi wa kuigeuza Ghaza eneo la burudani watakaloishi ndani yake watu wa kila pembe ya dunia.
-
Saudia yapingana na Trump, yasema msimamo wake kuhusu Palestina ni thabiti na hauwezi kubadilika
Feb 05, 2025 02:21Wizara ya Mambo ya Nje ya Saudi Arabia imesisitiza kuwa msimamo wa nchi hiyo kuhusu suala la kuundwa nchi huru ya Palestina ni thabiti, wa kimsingi na hauwezi kubadilika.
-
Araghchi: Ushindi Wa Muqawama unasimulia mafanikio yake na kushindwa Israel
Feb 04, 2025 23:12Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameashiria umuhimu wa kusimuliwa kwa usahihi mafanikio ya Mrengo wa Muqawama wa Palestina katika kupinga jinai za Israel.
-
Kuongezeka mashinikizo dhidi ya watetezi wa Palestina nchini Marekani katika muhula wa pili wa urais wa Trump
Feb 04, 2025 05:40Kwa kuanza muhula wa pili wa urais wa Donald Trump, pamoja na vitisho na hatua za serikali yake dhidi ya waungaji mkono wa Palestina, mashinikizo dhidi ya watu hao na harakati za ndani ya nchi hiyo pia zimeongezeka kwa kiasi kikubwa.
-
Rais wa Cuba: Muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani
Feb 02, 2025 23:01Rais Wa cuba amesema kuwa, muqawama wa taifa la Palestina ni mapambano bora zaidi duniani.
-
Ripoti: Wazayuni wanawatesa mateka wa Kipalestina kabla ya kuwaachia huru
Feb 02, 2025 04:12Baada ya kumalizika awamu ya nne ya kubadilishana mateka kati ya utawala wa Kizayuni wa Israel na Muqawama wa Palestina, duru za habari zimearifu kuwa baadhi ya mateka wa Kipalestina wamejeruhiwa kutokana na kuteswa kabla ya kuachiwa huru.
-
Nchi 9 zaunda 'Kundi la Hague' kutetea haki za Wapalestina
Feb 01, 2025 03:52Nchi tisa zimetangaza kuunda "Kundi la Hague" la kupigania haki za wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Iran yaonya: Shambulio dhidi ya vituo vyetu vya nyuklia litasababisha 'vita vitakavyoenea katika eneo'
Jan 31, 2025 23:37Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa onyo kali kuhusu matokeo mabaya ya kitendo cha uchokozi kinachoweza kufanywa, ambacho kinaweza kuuhusisha utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran.
-
Hamas: Wananchi wa Palestina watabaki katika ardhi yao
Jan 27, 2025 03:51Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema kuwa wananchi wa Palestina wako imara katika ardhi yao na mpango wowote wa kuwahamisha utafeli. Amesisitiza kuwa: Wapalestina watabaki katika ardhi yao.