Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Mielekeo tofauti inayoonyeshwa na nchi za Ulaya kuhusiana na jinai za Wazayuni inaashiria nini?

    Mielekeo tofauti inayoonyeshwa na nchi za Ulaya kuhusiana na jinai za Wazayuni inaashiria nini?

    Dec 26, 2024 23:30

    Wakati Waziri Mkuu wa Ireland Simon Harris amesisitiza kwa mara nyingine tena mshikamano wa nchi yake na Palestina na kuyataja mauaji ya Wapalestina kuwa ni "utovu wa hisia za dhamiri na janga la kibinadamu", mkabala na matamshi hayo, serikali ya Ujerumani imetoa kibali cha kusafirisha na kuipelekea silaha Israel.

  • Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Muqawama wa Wapalestina umeonyesha sura halisi ya mfumo wa kibeberu

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran: Muqawama wa Wapalestina umeonyesha sura halisi ya mfumo wa kibeberu

    Dec 22, 2024 23:41

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, muqawama wa Palestina na Mujahidina wa Gaza wameonyesha sura mbaya na ya kweli ya mfumo wa kibeberu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mamia ya maelfu ya Wayemen wafanya maandamano ya kuiunga mkono Palestina

    Mamia ya maelfu ya Wayemen wafanya maandamano ya kuiunga mkono Palestina

    Dec 20, 2024 23:26

    Mamia ya maelfu ya wananchi wa Yemen kwa mara nyingine tena wamemiminika barabarani kufanya maandamano makubwa ya kuwaunga mkono wananchi wa Palestina na kuupinga utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Jeshi la Kizayuni lamuua Babu mtu wa Kipalestina aliyegusa nyoyo za walimwengu mitandaoni

    Jeshi la Kizayuni lamuua Babu mtu wa Kipalestina aliyegusa nyoyo za walimwengu mitandaoni

    Dec 17, 2024 02:35

    Shambulio la kinyama la makombora lililofanywa na jeshi la Kizayauni katika Ukanda wa Ghaza limemuua Khaled Nabhan, Mpalestina ambaye amefahamika sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na video iliyomuonyesha akibusu macho ya mjukuu wake aliyeuliwa na kumwita "roho ya roho yangu".

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon

    Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon

    Dec 14, 2024 02:57

    Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mradi wa Wazayuni na Marekani wa kubadilisha jina la mashariki ya Palestina kuwa

    Mradi wa Wazayuni na Marekani wa kubadilisha jina la mashariki ya Palestina kuwa "Yuda na Samaria" utaishia wapi?

    Dec 12, 2024 23:28

    Kadiri wakati wa kuapishwa rasmi Donald Trump kuwa rais wa Marekani unavyozidi kukaribia, ndivyo mipango na njama za Washington za kuunga mkono sera za kujitanua zaidi utawala ghasibu wa Israel zinavyohiri na kuonekana wazi zaidi.

  • Netanyahu asema, Miinuko ya Golan ya Syria itakaliwa kinyume cha sheria na Israel hadi 'milele'

    Netanyahu asema, Miinuko ya Golan ya Syria itakaliwa kinyume cha sheria na Israel hadi 'milele'

    Dec 10, 2024 08:01

    Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni amesema, Miinuko ya Golan ya Syria inayokaliwa kwa mabavu itabaki "milele kuwa sehemu isiyoweza kutenganishwa" na Israel.

  • Vyama vya upinzani Namibia vyapinga ushindi wa SWAPO katika uchaguzi wa rais

    Vyama vya upinzani Namibia vyapinga ushindi wa SWAPO katika uchaguzi wa rais

    Dec 06, 2024 22:55

    Kiongozi wa Chama cha Wazalendo Wanaojitegemea kwa ajili ya Mabadiliko (Independant Patriots for Change) nchini Nambia IPC Panduleni Itula amesisitiza kuwa hawayakubali matokeo ya uchaguzi wa rais yanayoonyesha mgombea wa chama tawala SWAPO ameshinda kwa zaidi ya 57% ya kura akiuita uchaguzi huo kuwa ni wa "fujo".

  • Morocco yachapisha stempu ya Gaza kuwaunga mkono Wapalestina

    Morocco yachapisha stempu ya Gaza kuwaunga mkono Wapalestina

    Dec 03, 2024 03:45

    Idara ya posta ya Morocco imechukua hatua ya kuwaunga mkono Wapalestina dhidi ya utawala wa Kizayuni kwa kuchapisha stempu yenye anuani "Pamoja na Gaza".

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS