Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Utawala wa Kizayuni waua kigaidi makamanda 3  wa chama cha PLO

    Utawala wa Kizayuni waua kigaidi makamanda 3 wa chama cha PLO

    Sep 30, 2024 07:57

    Shambulio la kigaidi ambalo limetekelezwa na utawala wa Kizayuni katika eneo la "Al-Kola" mjini Beirut, Lebanon limepelekea kuuawa shahidi makamanda watatu waandamizi wa chama cha Ukombozi wa Palestina PLO.

  • Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ni ushahidi wa mauaji ya kimbari ya Israel

    Tume ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza: Mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ni ushahidi wa mauaji ya kimbari ya Israel

    Sep 30, 2024 02:25

    Mkuu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Kiislamu ya Uingereza (IHRC) amesema kuwa, jinai za kivita za hivi karibuni za utawala ghasibu wa Israel katika mauaji ya Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon na kuuawa mamia ya watu katika shambulio la Beirut ni ushahidi wa wazi wa mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni.

  • Kuasisiwa Muungano wa Kimataifa kwa ajili ya kuunda nchi huru ya Palestina

    Kuasisiwa Muungano wa Kimataifa kwa ajili ya kuunda nchi huru ya Palestina

    Sep 29, 2024 02:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameatangaza kuasisiwa Muuungano wa Kimataifa kwa ajili ya kufuatilia uundaji wa nchi huru ya Palestina.

  • Kinyume na uongo wa Netanyahu, UN yasema: Israel imezuia 90% ya misaada ya kuingizwa Ghaza

    Kinyume na uongo wa Netanyahu, UN yasema: Israel imezuia 90% ya misaada ya kuingizwa Ghaza

    Sep 28, 2024 10:03

    Umoja wa Mataifa umesema, kuna changamoto kadhaa zinazokabili shughuli za ufikishaji misaada ya kibinadamu kaskazini na kusini mwa Ukanda wa Ghaza, na kubainisha kuwa 90% ya misaada hiyo iliyokuwa imeratibiwa kufikishwa kwenye maeneo hayo ama imekataliwa au kuzuiliwa hadi sasa na utawala wa Kizayuni wa Israel katika mwezi huu wa Septemba.

  • Slovenia yaitambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Slovenia yaitambua rasmi nchi huru ya Palestina

    Sep 26, 2024 06:44

    Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri Mkuu wa Slovenia Tanja Fajon ametangaza kuwa nchi hiyo imeitambua rasmi nchi huru ya Palestina.

  • Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi

    Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi

    Sep 25, 2024 14:00

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi.

  • Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria

    Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria

    Sep 22, 2024 02:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima na kujibu malalamiko makubwa ya kimataifa kwa kushiriki kwake katika jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina, Lebanon na Syria.

  • Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)

    Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)

    Sep 21, 2024 12:42

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.

  • Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza

    Sep 20, 2024 06:52

    Mbunge Muislamu wa Marekani mwenye asili ya Palestina Rashida Tlaib amewasilisha mbele wa Bunge la Marekani kwa ajili ya kuwekwa kwenye kumbukumbu majina ya watoto wa Kipalestina waliouliwa na jeshi dhalimu la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.

  • Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake

    Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake

    Sep 18, 2024 06:03

    Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amejibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini humo, yaliyotaka ufanyike uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu akisema, Tanzania ni nchi huru, hivyo haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS