-
Watetezi wa Palestina wakusanyika nje ya White House kupinga safari ya Netanyahu
Jul 28, 2026 13:59Waandamanaji wanaoitetea na kuiunga mkono Palestina walikusanyika nje ya Ikulu ya White House jana Jumatatu kupinga ziara ya Waziri Mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu huko Washington kabla ya mkutano wake aliopangiwa kufanya na Rais wa Marekani Donald Trump.
-
Afisa wa UN alaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya Walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Jul 25, 2026 11:08Ripota Maalum wa Umoja wa Mataifa, Francesca Albanese, amelaani vikali wimbi kubwa la ghasia zinazotekelezwa na walowezi wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika maeneo yote ya Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Israel.
-
Hamas: Kuongezeka mashambulizi dhidi ya Gaza ni jaribio la kuua makubaliano ya kusitisha mapigano
Jul 24, 2026 07:13Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imetangaza kwamba mashambulizi makubwa ya anga ya utawala wa Israel eneo la Ukanda wa Gaza katika saa kadhaa zilizopita ni mwendelezo wa vita vya mauaji ya kimbari dhidi ya raia wasio na hatia na msisitizo wa kuvuruga makubaliano ya kusitisha mapigano.
-
'Hatuogopi kuuawa shahidi': Mkuu mpya wa Hamas atoa ujumbe wa kwanza
Jul 22, 2026 03:05Khalil al-Hayya, mkuu mpya wa Idara ya Siasa ya Hamas, ametangaza katika ujumbe wake wa kwanza kama kiongozi wa harakati hiyo kwamba muqawama wa Palestina hautatishwa na mauaji ya wanawe au mauaji ya makamanda wake.
-
Ukandamizaji wa sauti za kutetea Palestina nchini Ujerumani
Jul 21, 2026 11:25Mauaji ya halaiki yanayoendelezwa na utawala wa Israel huko Gaza kwa kiasi kikubwa yamefutwa kwenye vyombo vya habari vya Ujerumani na katika ajenda ya umma; hata hivyo, ukandamizaji wa sauti za kuunga mkono Palestina haujatoweka.
-
Jumatatu tarehe 13 Julai 2026
Jul 13, 2026 03:14Leo ni Jumatatu tarehe 28 Muharram 1448 Hijria inayosadifiana na tarehe 13 Julai 2026.
-
Mwalimu Fatima Kurtic afukuzwa kazi Luxenbourg kwa kuiunga mkono Palestina
Jul 13, 2026 03:06Mamlaka za Luxembourg zimemfukuza kazi mwalimu wa shule ya msingia mbaye pia ni manusura wa mauaji ya halaiki ya Bosnia-Herzegovina baada ya kukosoa hadharani mauaji ya watoto katika Ukanda wa Ghaza kupitia machapisho yake kwenye mitandao ya kijamii.
-
Mfungwa wa Kipalestina aelezea unyanyasaji wa wanawake katika magereza ya Israel
Jul 12, 2026 12:26Mfungwa mwanamke Mpalestina amesimulia uvamizi wa mara kwa mara, unyanyasaji wa kimwili na hali mbaya ya kizuizini inayowaathiri wanawake Wapalestina waliofungwa katika magereza ya Israel.
-
Dakta Abu Safiya anakabiliwa na hali mbaya katika gereza la Israel
Jul 05, 2026 11:00Shirika la Kimataifa la Haki za binadamu limearifu kuwa Dakta Hussam Abu Safiya, Mkurugenzi wa Hospitali ya Kamal Adwan huko Gaza ambaye amekuwa mikononi mwa Israel tangu mwaka 2024 anakabiliwa na tishio kubwa kwa maisha yake.
-
Wanajeshi katili wa Israel wamuuwa kipa Mpalestina huko Gaza
Jul 02, 2026 11:43Wanajeshi wa Israel wameuuwa shahidi kwa risasi kipa wa Kipalestina katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuifanya idadi ya wanamichezo waliouliwa shahidi na jeshi la Israel kufikia 1,009.