• Umoja wa Afrika: Mateso dhidi ya Wapalestina lazima yakomeshwe

    Umoja wa Afrika: Mateso dhidi ya Wapalestina lazima yakomeshwe

    Feb 14, 2026 23:20

    Mahmoud Ali Youssouf Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) amesema kuwa, mauaji dhidi ya wananchi wa Palestina ni lazima yakomeshwe. Mahmoud Ali Youssouf alisema hayo jana (Jumamosi) wakati akiufungua mkutano wa kilele wa 39 wa umoja huo.

  • Palestina inavyotokomezwa kupitia ukoloni; Iran yalaani uamuzi wa Israel wa kunyakua Ukingo wa Magharibi

    Palestina inavyotokomezwa kupitia ukoloni; Iran yalaani uamuzi wa Israel wa kunyakua Ukingo wa Magharibi

    Feb 13, 2026 03:51

    Iran imelaani vikali uamuzi wa hivi karibuni wa utawala wa Israel wa kunyakua ardhi zaidi za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu, ikisema kuwa hatua hiyo inalenga kupanua "ujenzi haramu wa vitongoji vya walowezi za Kizayuni" na kuimarisha ukaliaji mabavu na hatua kali za kiusalama dhidi ya Wapalestina na kuendelea "mauaji ya kimbari" huko Gaza.

  • Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha 'zilizoyeyusha' maelfu ya Wapalestina Ghaza

    Katika upeo wa unyama, Israel imetumia silaha 'zilizoyeyusha' maelfu ya Wapalestina Ghaza

    Feb 11, 2026 23:02

    Uchunguzi uliofanywa na televisheni ya Al Jazeera ya Qatar umefichua kuwa, utawala wa kizayuni wa Israel umetumia silaha zilizopigwa marufuku kimataifa zenye joto kupindukia katika vita vya mauaji ya kimbari huko Ghaza, na kupelekea "kuyeyuka" maelfu ya miili ya Wapalestina.

  • Harakati ya BDS yalaani undumakuwili wa Human Rights Watch

    Harakati ya BDS yalaani undumakuwili wa Human Rights Watch

    Feb 09, 2026 06:39

    Kamati ya Kitaifa ya Palestina ya harakati inayopinga dhulma na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina BDS imelikosoa vikali shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kwa kutoa ripoti za upendeleo zinazoakisi haki za Wapalestina, ikiwa ni pamoja na haki ya kurejea katika ardhi za mababu zao, na kudogosha ukiukwaji wa haki za Wapalestina wa Gaza unaofanywa na utawala wa Kizayuni.

  • Israel yaua Wapalestina 31 wakiwemo watoto 6 katika ukiukaji mpya wa usitishaji vita Ghaza

    Israel yaua Wapalestina 31 wakiwemo watoto 6 katika ukiukaji mpya wa usitishaji vita Ghaza

    Jan 31, 2026 11:14

    Wapalestina wasiopungua 31, wakiwemo kwa uchache watoto sita, wameuawa shahidi katika mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel tangu alfajiri ya leo hadi wakati huu katika Jiji la Ghaza na mji wa Khan Younis katika Ukanda wa Ghaza.

  • Jinai mpya: Hamas yailaani Israel kwa kufukua mamia ya makaburi huko Gaza

    Jinai mpya: Hamas yailaani Israel kwa kufukua mamia ya makaburi huko Gaza

    Jan 28, 2026 04:08

    Harakati ya muqawama ya Palestina, Hamas, imelaani jinai mpya ya utawala mhalifu wa Israel, ikisema kuwa wanajeshi wa Israel wamefukua mamia ya makaburi katika eneo la mashariki la Ukanda wa Gaza unaozingirwa. Wanajeshi wa utawala wa Kizyauni wamefukua makaburi ya Wapalestina wakitafuta mwili wa mateka wa mwisho wa utawala huo.

  • B’Tselem: Wapalestina wasiopungua 84 wameuawa kwenye kambi za mateso za Israel

    B’Tselem: Wapalestina wasiopungua 84 wameuawa kwenye kambi za mateso za Israel

    Jan 21, 2026 07:09

    Mfumo wa magereza wa utawala wa kizayuni wa Israel umekuwa "mtandao wa kambi za mateso" unaowalenga Wapalestina. Hayo yameelezwa katika ripoti mpya ya uchunguzi uliofanywa na asasi ya kutetea haki za binadamu ya B'Tselem.

  • Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa yaliongezeka sana mwaka 2025

    Mashambulizi ya Wazayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa yaliongezeka sana mwaka 2025

    Jan 10, 2026 03:12

    Duru za Palestina zimeripoti kwamba mashambulizi ya walowezi wa Kizayuni dhidi ya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu na kuvunjia heshima eneo hilo takatifu yaliongezeka kwa kiwango kikubwa katika mwaka uliomalizika majuzi wa 2025 na kwamba mashambulizi hayo yaliandamana na ujumbe wa kisiasa na kidini.

  • "Handala" yafichua operesheni za MOSSAD ndani ya Iran

    Jan 09, 2026 02:53

    Kundi moja la kutetea Palestina linalofahamika kwa jina la Handala limefichua utambulisho wa Mehrdad Rahimi, mtu anayeelezwa kuwa afisa wa kusimamia na kuendesha operesheni za maajenti wa shirika la kijasusi la Israel la Mossad hapa nchini Iran.

  • Wizara ya Afya ya Palestina: Waliouawa shahidi Gaza ni zaidi ya 71,300

    Wizara ya Afya ya Palestina: Waliouawa shahidi Gaza ni zaidi ya 71,300

    Jan 09, 2026 02:53

    Wizara ya Afya ya Palestina imeeleza katika takwimu zake za hivi karibuni kwamba, Wapalestina zaidi ya 71,000 wameuawa shahidi katika vita vya mauaji ya kimbari vilivyoanzishwa na utawala wa kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Gaza Oktoba 2023.