-
Slovenia yaitambua rasmi nchi huru ya Palestina
Sep 26, 2024 03:14Waziri wa Mambo ya Nje na Naibu Waziri Mkuu wa Slovenia Tanja Fajon ametangaza kuwa nchi hiyo imeitambua rasmi nchi huru ya Palestina.
-
Kiongozi Muadhamu: Wanamuqawama wa Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndio washindi
Sep 25, 2024 10:30Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameonana na wanaharakati wa Vita vya Kujihami Kutakatifu na Muqawama na kusisitiza kuwa, kambi ya Muqawama ya Palestina na Hizbullah ya Lebanon ndiye mshindi.
-
Kan'ani: Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima ya jinai za Israel huko Palestina, Lebanon na Syria
Sep 21, 2024 23:29Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya ya Iran amesema kuwa, Marekani ndiyo inayopaswa kubeba dhima na kujibu malalamiko makubwa ya kimataifa kwa kushiriki kwake katika jinai za utawala wa Kizayuni huko Palestina, Lebanon na Syria.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)
Sep 21, 2024 09:12Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
-
Mbunge Mmarekani Mpalestina alikabidhi Bunge la US orodha ya majina ya watoto waliouliwa Ghaza
Sep 20, 2024 03:22Mbunge Muislamu wa Marekani mwenye asili ya Palestina Rashida Tlaib amewasilisha mbele wa Bunge la Marekani kwa ajili ya kuwekwa kwenye kumbukumbu majina ya watoto wa Kipalestina waliouliwa na jeshi dhalimu la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
-
Rais Samia azijibu balozi za Ulaya: Tanzania ni nchi huru, isielekezwe cha kufanya katika mambo yake
Sep 18, 2024 02:33Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amejibu matamko ya balozi zinazowakilisha mataifa mbalimbali nchini humo, yaliyotaka ufanyike uchunguzi wa haraka wa matukio ya utekaji na mauaji ya watu akisema, Tanzania ni nchi huru, hivyo haipaswi kuelekezwa cha kufanya kwenye mambo yake.
-
Jumanne, tarehe 17 Septemba, 2024
Sep 16, 2024 22:57Leo ni Jumanne tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria sawa na Septemba 17 mwaka 2024.
-
Qalibaf asisitizia umoja wa Waislamu katika kadhia ya Palestina
Sep 15, 2024 04:02Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesisitizia haja ya Waislamu kote duniani kuwa na umoja na mshikamano katika suala la Palestina.
-
Iran yalaani shambulio la Israel dhidi ya skuli ya UN Gaza
Sep 12, 2024 23:35Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la anga la Israel dhidi ya shule nyingine iliyogeuzwa makazi na wakimbizi katika Ukanda wa Gaza, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 18, wakiwemo wafanyakazi sita wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).
-
Mashirika ya haki za binadamu yataka UN 'iwalinde' mateka wa Kipalestina
Sep 12, 2024 23:02Mashirika ya kutetea haki za binadamu yametoa wito kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za haraka "kuwalinda watu walionyimwa uhuru wao" katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.