-
Waislamu wa Ghaza wasali Sala ya Idi juu ya vifusi, maelfu wasali Idi katika Msikiti wa al Aqsa
Apr 10, 2024 22:57Waislamu wa Ukanda wa Ghaza jana Jumatano walitekeleza ibada ya Sala ya Idul Fitr juu ya vifusivya Misikiti na shule zilizobomolewa kikatili na utawala wa Kizayuni huku maelfu ya Waislamu wa Palestina wakitekeleza ibada hiyo kwenye Msikiti wa al Aqsa katika mji mtakatifu wa Baytul Muqaddas.
-
Kiongozi Muadhamu: Israel ilifanya makosa, 'itaadhibiwa' kwa kushambulia ubalozi mdogo wa Iran
Apr 10, 2024 04:22Kiongozi Muadhamu wa wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei anasema utawala wa Kizayuni wa Israel "lazima uadhibiwe na kutiwa adabu" kwa shambulio lake baya dhidi ya ubalozi mdogo wa Iran katika mji mkuu wa Syria, Damascus.
-
Raisi: Waislamu wana wajibu wa kukomesha mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza
Apr 10, 2024 00:07Rais wa Iran, Ebrahim Raisi, amesema ni wajibu wa kibinadamu na kidini kwa nchi za Kiislamu kukomesha mauaji ya kimbari ya miezi kadhaa ya utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imetumia unafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari huko Gaza
Apr 09, 2024 08:41Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani imetumia sifa na nafasi yake kuunga mkono mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni wa Israel huko Gaza.
-
Mbali na jinai nyinginezo, Israel inawashikilia mamia ya watoto wa Palestina kwenye jela za kutisha
Apr 06, 2024 07:04Klabu wa Mateka wa Palestina imesema kuwa, mbali na jinai zake nyinginezo nyingi zisizo na mfano, utawala wa Kizayuni unawashikilia mamia ya watoto wadogo wa Palestina katika jela zake za kuogofya.
-
Netanyahu ashikilia msimamo wake wa kupinga kuundwa nchi huru ya Palestina
Apr 05, 2024 23:09Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amerudia tena msimamo wake wa kupinga katakata kuundwa nchi huru ya Palestina alipokutana na ujumbe wa Marekani wa wabunge wa chama cha Republican.
-
Siku ya Quds; ubunifu wa kimataifa na mojawapo ya mifano ya kihistoria ya uungaji mkono wa Iran kwa Palestina
Apr 04, 2024 22:47Siku ya Kimataifa ya Quds ni ubunifu wa kwanza ulioonyeshwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika uga wa siasa za nje mara tu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Waislamu DRC ni waungaji mkono wa Quds na kadhia nzima ya Palestina + Video
Apr 04, 2024 08:08Masheikh wawili maarufu wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamezungumzia umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds na uungaji mkono wa Waislamu wa nchi hiyo kwa kadhia nzima ya Palestina hususan Ghaza.
-
Yemen: Siku ya Kimataifa ya Quds imeibakisha hai kadhia ya Palestina
Apr 04, 2024 08:01Katibu wa Baraza Kuu la Kisiasa la Yemen amesema kuwa, Siku ya Kimataifa ya Quds imeyabakisha hai mapambano ya ukombozi wa Palestina.
-
Iran na Misri zataka kufanyike juhudi madhubuti za kuizuia Israel isiuvamie mji wa Rafah
Apr 01, 2024 03:22Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Misri wametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za maana kimataifa ili kuzuia mashambulizi ya kivamizi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah wa kusini mwa Ukanda wa Ghaza.