Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ajiuzulu

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina ajiuzulu

    Feb 26, 2024 07:53

    Waziri Mkuu wa Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina Mohammad Ashtiyah, amejiuzulu wadhifa wake huo.

  • Iran: Mataifa ya Kiislamu yachukue hatua za kuwanga mkono watu wa Gaza

    Iran: Mataifa ya Kiislamu yachukue hatua za kuwanga mkono watu wa Gaza

    Feb 25, 2024 07:43

    Waziri wa Utamaduni na Miongozo ya Kiislamu wa Iran amesema mataifa yote ya Kiislamu yana wajibu wa kuwaunga mkono Wapalestina wa Ukanda wa Gaza na kuwapa usaidizi wa kivitendo ili kuwafanya waondokane na hali mbaya ya kibinadamu inayowakabili.

  • Askari wasiopungua sita za Kizayuni waangamizwa na Wanamuqawama wa Palestina Khan Yunis

    Askari wasiopungua sita za Kizayuni waangamizwa na Wanamuqawama wa Palestina Khan Yunis

    Feb 24, 2024 23:09

    Brigedi za Mujahidina wa Palestina zimetangaza kuwa zimewaangamiza wanajeshi kadhaa wa Kizayuni katika operesheni ya karibuni zaidi iliyotekelezwa na Muqawama wa Palestina magharibi mwa Khan Yunis.

  • Iran: Kusimamisha vita na kuandaliwa kura ya maoni ndio suluhisho la kadhia ya Palestina

    Iran: Kusimamisha vita na kuandaliwa kura ya maoni ndio suluhisho la kadhia ya Palestina

    Feb 23, 2024 04:32

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza kuwa kusitishwa vita katika ukanda wa Gaza na kuandaliwa kura ya maoni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ndio njia pekee ya kupatikana amani katika eneo hilo.

  • Kuwaunga mkono wananchi na muqawama wa Ghazza ndilo jukumu kubwa la kiQur'ani leo hii

    Kuwaunga mkono wananchi na muqawama wa Ghazza ndilo jukumu kubwa la kiQur'ani leo hii

    Feb 22, 2024 08:03

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran amesisitiza kuwa, kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi na muqawama wa Ukanda wa Ghazza ndilo jukumu kubwa zaidi la kiQur'ani hivi sasa.

  • Lavrov na Shoukry wajadili hali ya Palestina pambizoni mwa mkutano wa G-20

    Lavrov na Shoukry wajadili hali ya Palestina pambizoni mwa mkutano wa G-20

    Feb 22, 2024 03:40

    Sergey Lavrov Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia na mwenzake wa Misri, Sameh Shoukry jana walibadilishana mawazo na kujadili hali ya mambo katika eneo la Mashariki ya Kati hususan hali ya Ukanda wa Gaza. Haya ni kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia.

  • Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah

    Mashambulizi ya Israel dhidi ya Rafah

    Feb 22, 2024 01:16

    Hamjambo na karibuni katika Kipindi chetu wiki hii ambacho kitaangazia mashambulizi ya utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Palestina huko Rafah, kusini kwa Ukanda wa Gaza. Kuweni nami hadi tamati.****

  • Mwakilishi wa Afrika Kusini ICJ: Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza

    Mwakilishi wa Afrika Kusini ICJ: Israel imefanya mauaji ya kimbari Gaza

    Feb 21, 2024 07:48

    Mwakilishi wa Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) ametangaza kuwa, uvamizi na mauaji ya kimbari yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza yanatisha zaidi kuliko mfumo wa ubaguzi wa rangi, apartheid.

  • Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Afrika Kusini yaiasa ICJ iseme ukaliaji wa ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria

    Feb 20, 2024 09:24

    Afrika Kusini imeiomba Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) itoe ushauri wa kisheria unaosema kuwa hatua ya Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina ni kinyume cha sheria.

  • Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota

    Brazil yamuita nyumbani balozi wake wa Israel, mzozo watokota

    Feb 20, 2024 09:22

    Serikali ya Brazil imemrejesha nyumbani balozi wake wa Israel, huku mzozo wa kidiplomasia ukiendelea kutokota baina ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini na Tel Aviv.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS