Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Abbas atahadharisha kuhusu uvamizi wa Wazayuni dhidi ya Wakristo wa Palestina

    Dec 24, 2022 22:47

    Mkuu wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza kuwa kamwe hawatauruhusu utawala wa Kizayuni wa Israel kuwalenga Wakristo katika ardhi za Palestina.

  • Jumapili, 25 Disemba, 2022

    Jumapili, 25 Disemba, 2022

    Dec 24, 2022 22:45

    Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Tisa Jamadu-Thani 1444 Hijriia sawa na tarehe 25 Disemba 2022 Miladia.

  • Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

    Pigo jingine kwa Israel; Chile kufungua ubalozi wake Palestina

    Dec 22, 2022 23:42

    Rais wa Chile, Gabriel Boric amesema nchi hiyo inapanga kufungua ubalozi wake huko Palestina kwa shabaha ya kuongeza kiwango cha uwakilishwaji wake rasmi katika taifa hilo linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

    Muqawama: Tutalipiza kisasi cha mauaji ya Wapalestina Nablus

    Dec 18, 2022 07:10

    Makundi ya muqawama ya Palestina yamelaani mauaji ya mandugu wawili wa Kipalestina katika mji wa Nablus, kaskazini mwa eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.

  • Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi

    Israel yawakatia maji Wapalestina wa Ukingo wa Magharibi

    Dec 15, 2022 22:55

    Utawala haramu wa Israel umewafungia maji mamia ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Kombe la Dunia Qatar 2022, uwanja wa kutangaza uungaji mkono kwa Palestina

    Kombe la Dunia Qatar 2022, uwanja wa kutangaza uungaji mkono kwa Palestina

    Dec 15, 2022 04:49

    Wakati tunakaribia siku za mwisho za mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022, wimbi la uungaji mkono wa watu wa Qatar, Waislamu na wapenda haki kote duniani kwa Palestina, limekuwa la kushangaza na kusisimua sana.

  • Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina

    Uchunguzi wa maoni: Hamas ndiyo inayostahili kuongoza Wapalestina

    Dec 14, 2022 23:12

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanyika Palestina yanaashiria kuenea kwa ufisadi ndani ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina, kupungua sana umaarufu wa mamlaka hiyo na kupanda kwa nyota ya makundi ya wapiganaji wenye silaha kama Hamas na 'Arin al Usud (Pango la Simba).

  • Kanani Chafi: Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya jinai za Israel

    Kanani Chafi: Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya jinai za Israel

    Dec 14, 2022 04:23

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kuhusiana na jinai ya Wazayuni ya kumuua binti mdogo wa Kipalestina na kusema kuwa, tawala za Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zinabeba dhima ya mauaji yanayofanywa na Israel kutokanan na himaya na uungaji mkono wao kkwa utawakla huo ghasibu.

  • Hamas: Wapalestina hawataiacha Israel itekeleze njama zake

    Hamas: Wapalestina hawataiacha Israel itekeleze njama zake

    Dec 12, 2022 23:24

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema Wapalestina katu hawatouruhusu utawala haramu wa Israel utekeleza njama na mipango yake michafu dhidi ya mji mtakatifu wa Quds na Masjidul Aqsa.

  • Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi

    Kufutwa kazi mtangazaji wa TV Ujerumani kwa kuiunga mkono Palestina; utendaji wa kindumakuwili wa Magharibi

    Dec 12, 2022 07:43

    Kanali ya televisheni ya KiKA ya Ujerumani imemfuta kazi Matondo Castlo mwendeshaji wa kipindi cha watoto baada ya kushiriki katika maandamano ya amani katika mji wa Bait Dajan huko mashariki mwa mji wa Nablus.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS