Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

    Wazayuni wawashambulia Wapalestina wakisherehekea ushindi wa Morocco

    Dec 11, 2022 07:40

    Jeshi katili la utawala wa Kizayuni wa Israel limewashambulia wananchi wa Palestina waliokuwa wamekusanyika kusherehekea ushindi wa Morocco katika mchuano wa robo fainali ya mechi za Kombe la Dunia zinazoendelea kushuhudiwa nchini Qatar.

  • Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina

    Mahmoud Abbas: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa taifa la Palestina

    Dec 10, 2022 04:39

    Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameitaka jamii ya kimataifa isishirikiane na serikali haramu za utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema: Marekani na Uingereza zinapaswa kuomba radhi kwa watu wa Palestina.

  • Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina

    Xi Jinping: China itaendelea kuunga mkono juhudi za Wapalestina

    Dec 09, 2022 22:52

    Rais Xi Jinping wa China amesema serikali ya Beijing inaunga mkono jitihada za taifa la Palestina zinazolenga kuhuisha haki za msingi za Wapalestina.

  • HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni

    HAMAS: Muqawama ndiyo njia pekee ya kupambana na magaidi Wazayuni

    Dec 09, 2022 06:59

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imesisitiza kuwa, muqawama ndiyo njia na chaguo poekee la taifa la Palestina katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin

    Israel yaendelea kumwaga damu za Wapalestina Jenin

    Dec 08, 2022 07:21

    Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono

    Mussa Abu Marzouq: Israel itasambaratika endapo Wamagharibi wataacha kuiunga mkono

    Dec 08, 2022 04:28

    Naibu Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, endapo madola ya Magharibi yatasitisha himaya na uungaji mkono wao kwa utawala haramu wa Israel basi siku itakayofuata utawala huo utasambaratika kikamilifu.

  • Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina Ukingo wa Magharibi na kukanganyikiwa Wazayuni

    Dec 07, 2022 22:52

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umesema, umetiwa wasiwasi na kuongezeka operesheni za muqawama za Wapalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan na hasa juu ya kudumu na kuendelea kwa operesheni hizo.

  • Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Wapalestina 160 wameuawa shahidi tangu kuanza mwaka huu

    Dec 05, 2022 22:47

    Kwa akali Wapalestina 160 wameuawa shahidi na jeshi la utawala haramu wa Israel katika ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan tangu kuanza mwaka huu wa 2022.

  • Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Kuwait kujinaisha kuanzishwa uhusiano wa kawaida na Israel

    Dec 04, 2022 04:22

    Bunge la Kuwait kwa mara nyingine limechukua hatua inayoashiria msimamo usiotetereka wa nchi hiyo kuhusiana na Palestina, na sasa linaandaa mpango wa kisheria wa kufanya kuwa jinai mpango wowote wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.

  • Kan'ani: Haki za binadamu ni mchezo wa nchi kadhaa za wahalifu

    Kan'ani: Haki za binadamu ni mchezo wa nchi kadhaa za wahalifu

    Dec 03, 2022 03:04

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Nasser Kan'ani, ametaja mauaji ya kijana wa Kipalestina kwa kupigwa risasi moja kwa moja na askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa yanastahili jibu la kimataifa na kusema: "Haki za binadamu zimekuwa mchezo wa nchi kadhaa za kihalifu."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS