Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    UN yaunga mkono kutambuliwa Siku ya Nakba ya Wapalestina

    Dec 01, 2022 09:46

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga kura ya kuunga mkono azimio lenye maslahi kwa Palestina la kutaka kuadhimishwa Siku ya Nakba, inayokumbusha tukio chungu la kuasisiwa utawala bandia na haramu wa Israel mwaka 1948.

  • Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Kanali ya Kizayuni: Israel inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina

    Nov 30, 2022 07:15

    Chombo kimoja cha habari cha Kizayuni kimesema hali ya usalama katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu ni ya 'hatari' na kwamba Tel Aviv inakabiliwa na Intifadha mpya ya Wapalestina.

  • Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume wauliwa shahidi Ukingo wa Magharibi

    Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume wauliwa shahidi Ukingo wa Magharibi

    Nov 29, 2022 04:25

    Wapalestina watatu wakiwemo ndugu wawili wa kiume Jawaad na Dhaafar Abdurrahman wameuawa shahidi asubuhi ya leo baada ya kupigwa risasi na askari katili wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika kijiji cha Kafr Ain kaskazini mwa Ramallah, Ukingo wa Magharibi Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu

    Rais wa Algeria: Kuiunga mkono Palestina kusiishie kwenye utoaji taarifa tu

    Nov 29, 2022 04:10

    Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesisitiza haja ya kuchukuliwa hatua za kivitendo ili kurejesha haki za Wapalestina.

  • Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel

    Jumuiya 198 za Palestina na za kimataifa zatoa mwito kwa ICC kuchunguza jinai za Israel

    Nov 28, 2022 08:06

    Makumi ya asasi za Palestina na za kimataifa zimeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ifanye uchunguzi kuhusu jinai zinazofanywa na Wazayuni dhidi ya wananchi wa Palestina.

  • Polisi ya utawala wa Kizayuni yatangaza hali ya hatari baada ya miripuko ya al Quds

    Polisi ya utawala wa Kizayuni yatangaza hali ya hatari baada ya miripuko ya al Quds

    Nov 23, 2022 22:58

    Polisi ya utawala wa Kizayuni wa Israel imetangaza hali ya hatari katika ardhi zote zinazokaliwa kwa mabavu ikihofia uwezekano wa wana muqawama wa Palestina kuekeleza tena oparesheni dhidi ya Wazayuni.

  • Makundi ya Palestina: Operesheni ya Quds ni pigo kwa muundo wa usalama wa Israel

    Makundi ya Palestina: Operesheni ya Quds ni pigo kwa muundo wa usalama wa Israel

    Nov 23, 2022 08:33

    Makundi mbalimbali ya Palestina yamesema kuwa, operesheni za kishujaa iliyofanywa dhidi ya utawala wa Kizayuni katika mji wa Baytul Muqaddas ni fakhari kwa taifa la Palestina, ni katika kujibu jinai za Wazayuni na ni kufeli muundo wa kiusalama wa Israel kukabiliana na wanamapambano wa Palestina.

  • Jumatano tarehe 23 Novemba 2022

    Jumatano tarehe 23 Novemba 2022

    Nov 22, 2022 23:13

    Leo nu Jumatano tarehe 28 Rabiuthani 1444 Hijria sawa na Novemba 23 mwaka 2011.

  • Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Kuongezeka watoto wa Kipalestina katika magereza ya Israel

    Nov 22, 2022 07:09

    Wizara ya Mateka na Wafungwa wa Kipalestina Walioachiliwa Huru kutoka gerezani imetangaza kuwa, hivi sasa kuna watoto 170 wa Kipalestina katika magereza ya Israel huku watano kati yao wakishikiliwa pasi na kuelezwa tuhuma na makosa yao.

  • Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

    Uingereza yasisitiza haitauhamishia ubalozi wake Quds

    Nov 22, 2022 04:06

    Kwa mara nyingine, Uingereza kutokana na mashinikizio na ukosoaji wa ndani na nje ya nchi, imesisitiza kuwa haina mpango wa kuuhamishia ubalozi wake katika mji wa Quds tukufu, huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS