Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Algeria yasisitiza kuhusu ulazima wa kuipa uzito kadhia ya Palestina

    Algeria yasisitiza kuhusu ulazima wa kuipa uzito kadhia ya Palestina

    Nov 21, 2022 22:55

    Spika wa Bunge la Algeria amesisitiza juu ya ulazima wa kuzingatiwa na kupewa uzito suala la Palestina. Ibrahim Boughali ametoa sisitizo hilo katika kikao na ujumbe wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (Hamas) kilichofanyika katika mji mkuu wa Algeria, Algiers.

  • Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa

    Wapalestina wapata ushindi mwingine Umoja wa Mataifa

    Nov 18, 2022 03:17

    Kamati ya Tatu ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa imepasisha azimio ikitambua haki ya watu wa Palestina ya kuamua hatima yao wenyewe.

  • Israel yatumia bunduki za roboti dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Israel yatumia bunduki za roboti dhidi ya Wapalestina Ukingo wa Magharibi

    Nov 17, 2022 03:25

    Jeshi la utawala haramu wa Israel limepeleka silaha mpya za roboti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan, huku makabiliano baina ya Wazayuni na Wapalestina yakipamba moto.

  • Jumanne tarehe 15 Novemba 2022

    Jumanne tarehe 15 Novemba 2022

    Nov 14, 2022 22:56

    Leo ni Jumanne tarehe 20 Mfunguo Saba Rabiuthani 1444 Hijria sawa na Novemba 15 mwaka 2022.

  • Jeshi la Israel lampiga risasi na kumuua shahidi binti wa Kipalestina

    Jeshi la Israel lampiga risasi na kumuua shahidi binti wa Kipalestina

    Nov 14, 2022 07:19

    Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemuua shahidi msichana wa Kipalestina aliyekuwa na umri wa miaka 19 katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Ripoti: Tel Aviv inatumia

    Ripoti: Tel Aviv inatumia "mbinu za kimafia" dhidi ya makundi ya haki za binadamu ya Palestina

    Nov 08, 2022 23:18

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Palestina limesema katika ripoti yake kwa kamati ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa kwamba Israel inatumia vitisho na mbinu za kimafia kuyanyamazisha mashirika ya kutetea haki za binadamu.

  • HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

    HAMAS: Wapalestina wataendeleza mapambano ya ukombozi

    Nov 03, 2022 08:10

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imesema wananchi wa Palestina wataendeleza kwa nguvu zote jitihada na mapambano ya kulikomboa kikamilifu taifa lao kutoka kwenye makucha ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Algeria: Kadhia ya Palestina ipo ndani ya vipaumbele vyetu

    Algeria: Kadhia ya Palestina ipo ndani ya vipaumbele vyetu

    Nov 02, 2022 04:14

    Akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League) katika mji mkuu Algiers, Rais wa Algeria ameitaja kadhia ya Palestina kuwa suala muhimu na nyeti.

  • Wanaharakati wa mitandao ya kijamii waanzisha kampeni ya kususiwa PUMA na kupeperusha bendera ya Palestina Qatar 2022

    Wanaharakati wa mitandao ya kijamii waanzisha kampeni ya kususiwa PUMA na kupeperusha bendera ya Palestina Qatar 2022

    Oct 31, 2022 23:00

    Wanaharakati wa mitandao ya kijamii wameanzisha kampeni ya kusuusiwa kampuni ya vifaa vya michezo ya PUMA ya Ujerumani na kupeperushwa bendera ya Palestina wakati wa mashindano ya Kombe la Dunia Qatar 2022 ili kuwaazindua walimwengu kuhusumasaibu ya watu wa Palestina na umuhimu wa ukombozi wa ardhi hiyo inayokaliwa kwa mabavu na Israel.

  • Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

    Jukumu lililosahauliwa la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu Palestina

    Oct 31, 2022 00:46

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao mara mbili asubuhi na jioni kujadili matukio mapya yanayojiri Palestina.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS