-
Kundi la 'Arin al Usud laapa kuendelea na muqawama dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Oct 29, 2022 23:01Kundi la mapambano ya Kiislamu la 'Arin al Usud (Pango la Simba) linaloendesha mapambano yake katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan huko Palestina limesisitiza kuwa, watu wanaodhani kuwa muqawama umeshindwa, wanajidanganya.
-
Jeshi la Israel laendelea kumwaga damu za Wapalestina Nablus
Oct 29, 2022 00:24Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameendeleza umwagaji damu dhidi ya Wapalestina madhulumu katika mji wa Nablus ulioko katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi wawili miongoni mwao.
-
Iran: Uungaji mkono wa Magharibi kwa Israel ni mfano mkubwa zaidi wa ukiukaji wa haki za binadamu
Oct 26, 2022 03:41Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amelaani shambulio la utawala ghasibu wa Israel katika mji wa Nablus katika Ukingo wa Magharibi huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu, na kuutaja uungaji mkono usio na kikomo wa Marekani na nchi nyingine za Magharibi kwa utawala dhalimu wa Israel kuwa ni kielelezo kikubwa zaidi cha ukiukwaji wa haki za binadamu.
-
Wapalestina 5 wauawa shahidi na jeshi katili la Israel Ukingo wa Magharibi
Oct 25, 2022 07:49Wanajeshi makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambulia makazi ya Wapalestina katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan linalokaliwa kwa mabavu, na kuua shahidi Wapalestina watano.
-
HAMAS: Utawala wa Kizayuni umeshindwa kukabiliana na muqawama Ukingo wa Magharibi
Oct 24, 2022 09:07Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, jinai za utawala wa Kizayuni za kuwaua kigaidi wanamapambano wa Palestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan hazitapunguza kasi ya kuimarika muqawama wa wananchi wa Palestina.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan asisitiza kupatiwa ufumbuzi kadhia ya Palestina
Oct 24, 2022 04:01Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jordan amesisitiza kuwa, kupatiwa ufumbuzi kadhia ya palestina ni ufunguo wa kutatuliwa matizo ya eneo la Asia Magharibi.
-
Ujumbe wa HAMAS waonana na Rais wa Syria mara ya kwanza baada ya miaka 10
Oct 19, 2022 21:15Duru za Syria zimetangaza habari ya kukutana ujumbe mmoja wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS na Rais Bashar al Assad wa nchi hiyo ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 10 iliyopita.
-
Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Oct 18, 2022 04:07Serikali ya Australia imetangaza habari ya kubatilisha uamuzi wake tata wa kulitambua eneo la magharibi mwa Quds linalokaliwa kwa mabavu, eti kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Wasudani wapinga mwenendo wa kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel
Oct 17, 2022 07:30Katika kikao kinachofanyika mjini Khartoum kuhusu suala la Palestina, makundi ya Kiislamu ya Sudan yametahadharisha kuhusu hatua ya Waarabu ya kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Sababu za kushtadi ukatili na ukandamizaji wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina
Oct 16, 2022 06:45Tangu Jumamosi ya tarehe 8 Oktoba, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umeshadidisha tena ukatili na ukandamizaji dhidi ya Wapalestina.