Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Palestina

  • Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa

    Wazayuni watiwa kiwewe na kundi la muqawama wa "Arin al Usud" la Ukingo wa Magharibi

    Oct 15, 2022 07:52

    Kundi jipya la muqawama wa Palestina la 'Arin al Usud (Pango la Simba) limeutia kiwewe kiwewe utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.

  • Wajordan waandamana kuwaunga mkono Wapalestina waliozingirwa katika kambi ya Shuafat

    Wajordan waandamana kuwaunga mkono Wapalestina waliozingirwa katika kambi ya Shuafat

    Oct 15, 2022 04:21

    Mamia ya wananchi wa Jordan wameandamana wakiunga mkono muqawama na mapambano ya wananchi wa Palestina na kulaaniwa kuzingirwa Wapalestina katika kambi ya wakimbizi ya Shuafat huko Quds Palestina inayokaliwa kwa mabavu

  • Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria

    Makundi ya Palestina yaandaa hati ya maridhiano katika mkutano wao wa Algeria

    Oct 13, 2022 04:36

    Makundi ya Wapalestina yameandaa hati ya maridhiano mwishoni mwa mkutano wao wa siku mbili uliofanyika nchini Algeria.

  • Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)

    Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)

    Oct 11, 2022 03:22

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.

  • Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Israel yapuuza azimio la UN la kusitisha ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni

    Sep 29, 2022 08:36

    Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika eneo la Mashariki ya Kati amesema Israel inaendelea kupuuza azimio la mwaka 2016 la Baraza la Usalama la UN, linaloutaka utawala huo wa Kizayuni usitishe ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kiyahudi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Hamas: Kuendelea kuhujumiwa al-Aqsa 'kutalipua' Asia Magharibi

    Hamas: Kuendelea kuhujumiwa al-Aqsa 'kutalipua' Asia Magharibi

    Sep 28, 2022 04:42

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amelaani vikali hujuma na uvamizi unaoendelea wa wanajeshi wa Kizayuni na walowezi wa Kiyahudi dhidi ya msikiti mtakatifu wa al-Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.

  • HAMAS: Israel inatumia vibaya udhaifu wa ulimwengu wa Kiarabu kudhibiti Masjidul-Aqswa

    HAMAS: Israel inatumia vibaya udhaifu wa ulimwengu wa Kiarabu kudhibiti Masjidul-Aqswa

    Sep 27, 2022 04:42

    Mjumbe mwandamizi wa ofiisi ya kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, utawala haramu wa Israel unatumia vibaya udhaifu ambao umeugubika ulimwengu wa Kiarabu na hivyo kuudhibiti mji wa Beitul-Muqaddas na msikiti mtakatidu wa al-Aqswa.

  • HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

    HAMAS: Taifa la Palestina litapata ushindi katika vita vyake na utawala haramu wa Israel

    Sep 27, 2022 01:15

    Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiiislamu ya Palestina HAMAS amesema kuwa, taifa la Palestina ndilo litakaloibuka na ushindi katika vita na utawala ghasibu wa israel.

  • Al Shimi: Nembo ya muqawama wa Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa

    Al Shimi: Nembo ya muqawama wa Wapalestina katika msikiti wa al Aqsa

    Sep 27, 2022 01:04

    Wanajeshi ghasibu wa utawala wa Kizayuni wamemshambulia na kumvamia Abubakar al Shimi mzee mwenyeji wa mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu aliye na umri wa miaka 65 ambaye alikuwa na lengo la kuingia katika Msikiti mtukufu wa al Aqsa.

  • Leo ni Jumanne tarehe 27 Septemba 2022

    Leo ni Jumanne tarehe 27 Septemba 2022

    Sep 26, 2022 22:45

    Leo ni Jumanne tarehe 30 Safar 1444 Hijria sawa na 27 Septemba 2022.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS