Pars Today
Jiji la Paris nchini Ufaransa limechukua uamuzi wa kumnyang'anya uraia wa fahari kiongozi wa chama tawala nchini Myanman, Aung San Suu Kyi kutokana na mauaji yanayoendelea kufanywa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.
Kadhia ya mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkoasoaji wa utawala wa Saudi Arabia, imepewa uzingatiaji na kikao cha dunia cha haki za binaadamu mjini Paris, Ufaransa.
Leo ni Alkhamisi tarehe 11 Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria sawa na Agosti 23, 2018.
Misri na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimeelezea kutofurahishwa kwao na maamuzi wa mkutano wa mjini Paris Ufaransa kuhusiana na Libya na kusema kuwa zinapinga uchaguzi wa Rais na Bunge uliopangwa kufanyika nchini humo tarehe 10 Disemba mwaka huu.
Paris na Cairo zimesisitizia azma yao ya kuimarisha ushirikiano baina yao katika nyuga tofauti za kijeshi na kiusalama.
Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 5, 2017.
Leo ni Jumatano tarehe 13 Muharram 1439 Hijria sawa na 4 Oktoba 2017.
Leo ni Jumanne tarehe 12 Muharram 1439 Hijria sawa na 3 Oktoba 2017.
Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa, nchi yake itaendeleza sera za nchi yake za kurejesha amani na uthabiti na kusaidia kuundwa serikali yenye nguvu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Leo ni Jumatano tarehe Mosi Mfunguo Tatu Dhulhija 1438 Hijria sawa na 23 Agosti 2017 Milaadia.