-
Wataalamu watangaza dawa ya kukinga Ukimwi, Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi, Paris
Jul 27, 2017 15:59Wataalamu walioshiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Ukimwi uliofanyika Paris nchini Ufaransa wametangaza mbinu mpya ya kuzuia maambukizi ya virusi vya HIV na kutibu maradhi ya Ukimwi.
-
Viongozi wa Kiislamu Ulaya waanza safari ya kulaani ugaidi
Jul 09, 2017 02:52Makumi ya viongozi wa kidini na maimamu wa Swala za jamaa barani Ulaya wameanza safari ya kutembelea nchi kadhaa za bara hilo wakitokea mtaa mashuhuri wa Champs-Elysees mjini Paris. Viongozi hao wa kidini watatembelea maeneo yaliyokumbwa na mashambulizi ya kigaidi katika miezi ya hivi karibuni.
-
Jumatano 14 Juni, 2017
Jun 14, 2017 03:09Leo ni Jumatano tarehe 19 Ramadhani 1438 Hijiria sawa na tarehe 14 Juni 2017.
-
Rais wa Russia asisitiza ushirikiano katika utatuzi wa mgogoro wa Syria
May 30, 2017 04:24Rais Vladimir Putin wa Russia amesisistiza kuhusu udharura wa kuwepo ushirikiano katika jitihada za kupambana na ugaidi.
-
Polisi ya Ufaransa: Mtekelezaji wa shambulizi la Paris alikuwa mhalifu sugu
Apr 22, 2017 03:43Polisi ya Ufaransa imetangaza kuwa, mtu aliyehusika na shambulizi la jana mjini Paris alikuwa na historia ya uhalifu na kufungwa jela.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi na umwagaji damu mjini Paris
Apr 21, 2017 16:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la ufyatuaji risasi lililofanywa na kundi la kigaidi la Daesh mjini Paris, Ufaransa siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini humo na imetoa wito kwa nchi mbalimbali kushikamana na kusaidia juhudi za kutokomeza tishio la ugaidi kwa azma thabiti.
-
Ushahidi waonesha: Ndege ya Misri iliangushwa na magaidi
Dec 16, 2016 03:49Kuna uwezekano mkubwa kwamba, ndege ya Misri iliyoanguka mapema mwa mwaka huu na kuua makumi ya watu ililipuliwa na magaidi.
-
Maelfu waandamana mjini Paris, Ufaransa kupinga ndoa za watu wa jinsia moja
Oct 17, 2016 08:05Maelfu ya wapinzani wa ndoa za watu wa jinsia moja, wamefanya maandamano makubwa mjini Paris, Ufaransa.
-
Jumanne 23 Agosti, 2016
Aug 23, 2016 06:23Leo ni Jumanne tarehe 20 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe 23 Agosti 2016.
-
Raia mmoja wa Algeria atiwa mbaroni akihusishwa na mashambulio ya Paris Ufaransa
Feb 28, 2016 16:30Maafisa usalama wa Algeria wametangaza habari ya kutiwa mbaroni raia mmoja wa nchi hiyo aliyekuwa anaishi nchini Ubelgiji kwa tuhuma za kuhusika katika mashambulizi ya mjini Paris Ufaransa.