-
Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen + Video
Feb 08, 2024 07:53Vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen ni vita vya kuilinda Israel na kampeni yake ya mauaji ya kimbari huko Gaza. Marekani na Uingereza, zikiwa mifano miwili ya nchi tajiri zaidi duniani, zinashambulia kwa makombora moja ya mataifa maskini zaidi duniani, Yemen, ambalo kosa lake ni kulitetea taifa linalodhulumiwa zaidi duniani la Palestina, huko Gaza.
-
Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?
Dec 12, 2023 10:09Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi.
-
Je unaijua Pallywood na upotoshaji wake kuhusu jinai za Ghaza?
Dec 05, 2023 10:58Yumkini hadi hivi sasa umeshasikia kuhusu Hollywood, Bollywood au hata Nollywood, lakini vipi kuhusu Pallywood?
-
Jinai za Israel huko Ghaza haziwahi kutokea mfano wake katika karne ya 21
Nov 09, 2023 11:40Uhalifu wa kivita wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umevunja rekodi za uhalifu na jinai zote zilizotokea katika karne ya 21.
-
Je, unajua Wazayuni walifanya jinai kubwa kiasi gani wakati wanaiteka Ghaza?
Nov 01, 2023 10:59Je unajua ni jinai kubwa kiasi gani zilifanywa na Wazayuni wakati wanateka kijinai ardhi za Wapalestina miaka 75 iliyopita?
-
Uongo 10 unaoenezwa na Wazayuni kupotosha kadhia ya Palestina
Nov 01, 2023 10:48Wazayuni wanafanya propaganda kubwa kujaribu kupotosha fikra za walimwengu kuhusu jinai zao na kuhusu kadhia nzima ya Palestina.
-
Jinai za Wazayuni hazijawahi kushuhudiwa katika karne ya 21
Nov 01, 2023 10:30Wazayuni wameshambulia hospitali na kuua shahidi kwa umati na kwa mkupuo mmoja mamia ya Wapalestina.
-
Historia fupi ya Ukanda wa Ghaza
Nov 01, 2023 10:10Je, unaposikia Ukanda wa Ghaza unajua ni nini? Je umewahi kujiuliza kwa nini kwa zaidi ya miaka 75 sasa Wapalestina wanaendelea na mapambano hadi hivi sasa.