Feb 08, 2024 07:53 UTC

Vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen ni vita vya kuilinda Israel na kampeni yake ya mauaji ya kimbari huko Gaza. Marekani na Uingereza, zikiwa mifano miwili ya nchi tajiri zaidi duniani, zinashambulia kwa makombora moja ya mataifa maskini zaidi duniani, Yemen, ambalo kosa lake ni kulitetea taifa linalodhulumiwa zaidi duniani la Palestina, huko Gaza.

Fuatilia video hii kwa utambuzi zaidi.
Jiunge na channel yetu ya Telegram: @RadioTehranSW au t.me/RadioTehranSW kwa video na taarifa nyingi zaidi.

Unaweza pia kusikiliza matangazo yetu mubashara kwenye Telegram katika: https:////t.me/RadioTehranSW?livestream

Tembelea pia tovuti yetu: https://parstoday.ir/sw

Pia ukurasa wetu wa Podcast wa:  https://parstoday.ir/sw/radio/program--podcast_swahili

Usiache pia kutembelea na kujiunga na Channel yetu ya Youtube ya: https://www.youtube.com/@iranradiosw

Amma kuhusu video hii unaweza kuiangalia moja kwa moja pia kwenye: https://www.youtube.com/watch?v=ayyUejfbcm0
 

Tags