Apr 22, 2024 10:07 UTC
  • Kipigo cha Iran kwa utawala wa Kizayuni wa Israel + Video

Unadhani ni kitu gani kimelifanya shambulio la Iran dhidi ya Israel lionekane kuwa ni tukio kubwa? Kujibu suali hili, nukta ya kwanza na muhimu zaidi ni kwamba Iran imethibitisha kivitendo kuwa, ulinzi wa anga wa Israel si madhubuti...

Fuatilia video hii kwa utambuzi zaidi.Jiunge na channel yetu ya Telegram: @RadioTehranSW au t.me/RadioTehranSW kwa video na taarifa nyingi zaidi.

Unaweza pia kusikiliza matangazo yetu mubashara kwenye Telegram katika: https:////t.me/RadioTehranSW?livestream

Tembelea pia tovuti yetu: https://parstoday.ir/sw

Pia ukurasa wetu wa Podcast wa:  https://parstoday.ir/sw/radio/program--podcast_swahili

Usiache pia kutembelea na kujiunga na Channel yetu ya Youtube ya: https://www.youtube.com/@iranradiosw

 


 

Tags