• Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (4)

    Ukoloni, tangu mwanzo hadi leo (4)

    Oct 03, 2024 10:52

    Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Karibuni katika Episodi ya Nne ya Podikasti tuliyoipa jina la Ukoloni Tangu Mwanzo hadi Leo. Podikasti hii inazungumzia historia na jinsi ilivyojitokea fikra hii ya ukoloni katika nukta tofauti duniani, sababu na madhara yake makubwa. Podikasti hii inazungumzia pia aina mbalimbali za ukoloni.

  • Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa- Sehemu ya 8

    Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa- Sehemu ya 8

    Jul 18, 2024 09:09

    Sehemu hii ya nane ya Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa (Stolen Youth) inaangazia vitendo vya mabavu na ubaguzi wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.

  • Kipigo cha Iran kwa utawala wa Kizayuni wa Israel + Video

    Kipigo cha Iran kwa utawala wa Kizayuni wa Israel + Video

    Apr 22, 2024 10:07

    Unadhani ni kitu gani kimelifanya shambulio la Iran dhidi ya Israel lionekane kuwa ni tukio kubwa? Kujibu suali hili, nukta ya kwanza na muhimu zaidi ni kwamba Iran imethibitisha kivitendo kuwa, ulinzi wa anga wa Israel si madhubuti...

  • Shambulio la utawala wa Kizayauni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus + Video

    Shambulio la utawala wa Kizayauni kwenye ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus + Video

    Apr 13, 2024 07:13

    Video hii inazungumzia hatua hatari ya Israel ya kushambulia ubalozi mdogo wa Iran mjini Damascus Syria na matokeo yake.

  • Ulimwengu wa Kiarabu na kadhia ya Palestina

    Ulimwengu wa Kiarabu na kadhia ya Palestina

    Mar 25, 2024 02:44

    Kwa miongo mingi, Waarabu wamelitambua suala la Palestina kuwa suala la Waarabu pekee, na kulifuatilia kwa taasubi kubwa, kwa uchache katika maneno na kaulimbiu zao; lakini je, Waarabu hao wako wapi leo?

  • Hivi ndivyo Israel inavyotangazwa kwenye vyombo vya habari vya Marekani + VIDEO

    Hivi ndivyo Israel inavyotangazwa kwenye vyombo vya habari vya Marekani + VIDEO

    Feb 26, 2024 09:37

    Israel ina nafasi maalumu na ya kipekee katika vyombo vya habari vya Marekani; Vivyo hivyo katika masuala ya kisiasa ya Marekani; na zaidi ya dola lolote jingine, imepewa nafasi maalumu katika fikra na sera za serikali ya Washington.

  • Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen (2) + Video

    Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen (2) + Video

    Feb 19, 2024 18:08

    Tumeisikia Marekani ikiitangaza Harakati ya Wahouthi wa Yemen ya Ansarullah kuwa ni shirika la kigaidi, kwa sababu tu ya jitihada zake za kuzuia mauaji ya kimbari yanayofanywa na Israel.

  • Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen + Video

    Vita vya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen + Video

    Feb 08, 2024 07:53

    Vita vya Uingereza na Marekani dhidi ya Yemen ni vita vya kuilinda Israel na kampeni yake ya mauaji ya kimbari huko Gaza. Marekani na Uingereza, zikiwa mifano miwili ya nchi tajiri zaidi duniani, zinashambulia kwa makombora moja ya mataifa maskini zaidi duniani, Yemen, ambalo kosa lake ni kulitetea taifa linalodhulumiwa zaidi duniani la Palestina, huko Gaza.

  • Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Tunawaambiaje wale wanaolaani mapambano ya silaha ya Wapalestina?

    Dec 12, 2023 10:09

    Hivi inafaa kweli kuwalaumu Wapalestina kwa kuendesha mapambano ya silaha dhidi ya Wazayuni Kama unaamini hivyo, basi anza kwanza kulaani mapambano ya mashujaa kama Nelson Mandela. Lakini pia si shujaa Nelson Mandela tu, bali wako wengi. 

  • Je unaijua Pallywood na upotoshaji wake kuhusu jinai za Ghaza?

    Je unaijua Pallywood na upotoshaji wake kuhusu jinai za Ghaza?

    Dec 05, 2023 10:58

    Yumkini hadi hivi sasa umeshasikia kuhusu Hollywood, Bollywood au hata Nollywood, lakini vipi kuhusu Pallywood?