Nov 09, 2023 11:40 UTC
  • Jinai za Israel huko Ghaza haziwahi kutokea mfano wake katika karne ya 21

Uhalifu wa kivita wa Israel katika Ukanda wa Ghaza umevunja rekodi za uhalifu na jinai zote zilizotokea katika karne ya 21.

Ingia kwenye link hii upate japo kwa muhtasari baadhi tu ya uhalifu mkubwa wa Israel dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wala hatia wa Palestina.

Tafadhali jiunbe na channel yetu ya Youtube ya: https://www.youtube.com/@iranradiosw

Amma video hii unaweza kuingalia moja kwa moja kwenye kiungo hiki: https://www.youtube.com/watch?v=CU99pfMgVJI

 

 

Tags