Pars Today
Leo ni Jumapili tarehe 3 Mfunguo Pilii Dhul-Qaadah 1445 Hijria sawa na tarehe 12 Mei 2024 Mildia.
Leo ni Alkhamisi tarehe 30 Shawwal 1445 Hijria sawa na tarehe 9 Mei mwaka 2024.
Leo ni Jumanne tarehe 18 Shawwal 1444 Hijria sawa na tarehe 9 Mei mwaka 2023.
Leo ni Jumatatu tarehe 7 Mfungo Mosi Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 9 Mwaka 2022.
Msemaji wa zamani wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye sasa ni balozi wa Iran nchini Azerbaijan amesema kuwa, Tehran ina hamu ya kuona utulivu na amani ya kudumu inapatikana katika eneo hili zima.
Mambo ya kutiliwa shaka na yasiyofahamika vizuri katika mkataba wa amani wa Russia kuhusu mgogoro wa Azerbaijan na Armenia juu ya eneo la Nagorno Karabakh, yamenyamaziwa kimya na viongozi wa Azerbaijan na Uturuki.
Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa vikosi vya kulinda amani vya nchi hiyo vimeshawasili katika eneo la Nagorno-Karabakh.
Russia daima imekuwa ikitahadharisha kuhusu hatari ya uwepo wa makundi ya kigaidi yenye misimamo ya kupindukia mpaka katika nchi hiyo na nchi nyingine za Caucasia na Asia ya Kati na kusisitiza udharura wa kupambana na makundi hayo.
Makubaliano ya kusitisha vita baina ya Jamhuri ya Azerbaijan na Armenia yaliyofikiwa kwa upatanishi wa Russia yamekiukwa dakika 5 tu baada ya kuanza kutekelezwa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekaribisha mapatano ya usitishwaji vita katika eneo la Nagorno-Karabakh.