-
Amir Abdollahian: Magenge ya kigaidi katika eneo la Karabakh ni tishio kwa usalama
Oct 03, 2020 02:40Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Iran (yaani Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, vita vinavyoendelea hivi sasa kwenye eneo la Nagorno-Karabakh vinaoensha kuwa magenge ya kigaidi yanayoshiriki kwenye vita hivyo ni tishio kwa usalama na amani ya eneo hili zima.
-
Macron: Uturuki imetuma mamluki wa Kisyria kupigana Nagorno-Karabakh
Oct 01, 2020 11:13Ufaransa imeituhumu Uturuki kwamba imetuma mamluki wa Kisyria kupigana vita katika mzozo wa Nagorno-Karabakh na kusema Paris inashirikiana na Russia kwa ajili ya kusitisha mapigano kati ya majeshi ya Azerbaijan na Armenia.
-
Jumamosi, 9 Mei, 2020
May 08, 2020 23:59Leo ni Jumamosi tarehe 15 ya mwezi mtukufu wa Ramadhani 1441 Hijria, mwafaka na tarehe 9 Mei 2020 Miladia.
-
Alkhamisi, Mei 9, 2019
May 09, 2019 04:18Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Ramadhani 1440 Hijria sawa na tarehe 9 Mei, 2019 Milaadia
-
Jumamosi, Mei 12, 2018
May 12, 2018 04:14Leo ni Jumamosi tarehe 25 Shaaban 1439 Hijria mwafaka na tarehe 12 Mei 2018 Miladia.
-
Ijumaa, Mei 12, 2017
May 10, 2017 05:23Leo ni Ijumaa, tarehe 15 Shaaban mwaka 1438 Hijria, sawa na Mei 12 mwaka 2017 Miladia.
-
Jumanne 9 Mei 2017
May 09, 2017 04:19Leo ni Jumanne 12 Shaaban 1438 Hijria, sawa na Mei 9, 2017.