Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Shamkhani: Tumeingia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo ili kufikia makubaliano imara, endelevu na ya kuaminika

    Shamkhani: Tumeingia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo ili kufikia makubaliano imara, endelevu na ya kuaminika

    Jul 07, 2022 03:50

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar hapa Tehran kuwa Iran imeingia katika mazungumzo ya kuondoa vikwazo ili kufikia makubaliano imara, endelevu na ya kuaminika.

  • Rais wa Iran na Mfalme wa Qatar wabadilishana mawazo kuhusu mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Rais wa Iran na Mfalme wa Qatar wabadilishana mawazo kuhusu mazungumzo ya uondoaji vikwazo

    Jun 30, 2022 22:14

    Rais Ebrahim Raisi amesisitiza kuhusu misimamo ya wazi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya uondoaji vikwazo vya kidhalimu lilivyowekewa taifa hili.

  • Mazungumzo ya Doha yamalizika, pande husika zaahidi kudumisha mawasiliano

    Mazungumzo ya Doha yamalizika, pande husika zaahidi kudumisha mawasiliano

    Jun 30, 2022 03:45

    Mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya Iran na Marekani kuhusu uondoaji vikwazo yaliyoanza juzi Jumanne katika mji mkuu wa Qatar, Doha yamemalizika; huku pande mbili zikisema kuwa zitaendelea kuwasiliana juu ya marhala zijazo za mazungumzo hayo.

  • Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA

    Bagheri Kani aelekea Doha kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya JCPOA

    Jun 28, 2022 03:36

    Kiongozi wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya JCPOA anaelekea Doha, mji mkuu wa Qatar kwa ajili kushiriki duru mpya ya mazungumzo ya kuiondolea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu.

  • Mfalme wa Saudia aibembeleza Qatar iimarishe uhusiano na Riyadh

    Mfalme wa Saudia aibembeleza Qatar iimarishe uhusiano na Riyadh

    Jun 17, 2022 06:55

    Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdulaziz amemuandikia barua Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani akiiomba Doha ichukue hatua za kuimarisha uhusiano wa pande mbili na Riyadh.

  • Safari ya Amir wa Qatar nchini Iran; ukurasa mpya katika uhusiano wa nchi mbili

    Safari ya Amir wa Qatar nchini Iran; ukurasa mpya katika uhusiano wa nchi mbili

    May 13, 2022 06:27

    Sheikh Tamim bin Hamad Aal Thani, Amir wa Qatar aliwasili mjini Tehran siku ya Alhamisi kwa ziara rasmi ambapo amekutana na kuzungumza na mwenyeji wake Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    Kiongozi Muadhamu: Inatarajiwa ulimwengu wa Kiarabu utaingia medani ya kisiasa kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni

    May 12, 2022 23:16

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema dhulma ya miongo kadhaa ya utawala khabithi wa Kizayuni dhidi ya watu wa Palestina ni ukweli mchungu wa historia na pigo kwa ulimwengu wa Kiislamu na Kiarabu na kuongeza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inataraji kwamba ulimwengu wa Kiarabu utaingia wazi wazi katika medani ya kisiasa kukabiliana na jinai hizo.

  • Qatar: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ukiukaji wa maazimio ya kimataifa

    Qatar: Ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa Kizayuni ni ukiukaji wa maazimio ya kimataifa

    May 08, 2022 03:42

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imelaani vikali mpango mpya wa utawala wa Kizayuni wa Israel wa kupanua vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi unazozikalia kwa mabavu za Palestina.

  • Iran iko tayari kuisaidia Qatar kuandaa Kombe la Dunia kwa mafanikio

    Iran iko tayari kuisaidia Qatar kuandaa Kombe la Dunia kwa mafanikio

    Apr 04, 2022 07:14

    Katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar, Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran amesisitiza utayarifu wa Iran katika kuisaidia nchi hiyo kuandaa kwa mafanikio Kombe la Dunia.

  • Iran: Utawala wa Kizayuni ndio tatizo kuu la Ulimwengu wa Kiislamu

    Iran: Utawala wa Kizayuni ndio tatizo kuu la Ulimwengu wa Kiislamu

    Mar 30, 2022 21:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ndio tatizo kuu la Ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS