Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina

    Amir wa Qatar aikosoa dunia kwa kupuuza kughusubiwa ardhi za Palestina

    Mar 27, 2022 06:20

    Amir wa Qatar amekosoa vikali hatua ya utawala ghasibu wa Israel ya kukalia kwa mabavu ardhi za Wapalestina na kusisitiza kuwa, asilimia kubwa ya jamii ya kimataifa imefumbia macho kadhia hiyo kwa miongo kadhaa sasa.

  • Ujerumani yasaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar ili 'kupunguza utegemezi' wa gesi ya Russia

    Ujerumani yasaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar ili 'kupunguza utegemezi' wa gesi ya Russia

    Mar 21, 2022 22:59

    Kwa kisingizio cha kupunguza utegemezi wa gesi ya Russia, Ujerumani imesaini mkataba wa kununua gesi kutoka Qatar.

  • Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna

    Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna

    Mar 13, 2022 04:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.

  • Gesi asilia; jibu kwa changamoto za ustawi endelevu katika karne ya 21

    Gesi asilia; jibu kwa changamoto za ustawi endelevu katika karne ya 21

    Feb 23, 2022 08:17

    Mkutano wa Sita wa Wakuu wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (GECF) ulianza rasmi Jumanne wiki hii ukihudhuriwa na Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, wakuu na wawakilishi wa nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Mkutano huo ilifunguliwa kwa hotuba ya Amir wa Qatar, Sheikh Tamim bin Hamad al-Thani kwa kauli mbiu ya "Usalama wa Nishati Duniani".

  • Safari ya Raisi nchini Qatar, maonyesho ya diplomasia ya ujirani mwema

    Safari ya Raisi nchini Qatar, maonyesho ya diplomasia ya ujirani mwema

    Feb 21, 2022 06:29

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo amewasili Doha mji mkuu wa Qatar kwa mwaliko wa Amir wa nchi hiyo, kuhudhuria Mkutano wa Sita wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (OPEC-Gas) sambamba na kuimarisha uhusiano wa pande mbili.

  • Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran

    Umuhimu wa safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar mjini Tehran

    Jan 28, 2022 04:54

    Mohammed bin Abdulrahman Al-Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu wa nchi hiyo siku ya Alhamisi alifanya ziara mjini Tehran ambapo alionana na kuzungumza na waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Iran Hussein Amir Abdollahian.

  • Hassan bin Abdullah al Ghanim achaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar

    Hassan bin Abdullah al Ghanim achaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar

    Oct 27, 2021 00:36

    Hassan bin Abdullah al Ghanim amechaguliwa kuwa Spika wa kwanza wa Bunge la Qatar baada ya kupigiwa kura 37 za 'ndiyo' na wabunge wa bunge hilo lililoundwa kupitia uchaguzi wa hivi karibuni.

  • Kuhuishwa uhusiano wa Doha na Cairo katika Muktadha wa Busara ya Qatar katika sera ya kigeni

    Kuhuishwa uhusiano wa Doha na Cairo katika Muktadha wa Busara ya Qatar katika sera ya kigeni

    Oct 22, 2021 00:26

    Kufuatia kuanza kazi kwa balozi wa Qatar mjini Cairo, balozi wa Misri pia aliwasili Doha siku ya Jumatano Oktoba 20 kwa ajili ya kuwakilisha nchi yake katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.

  • Ijumaa tarehe 3 Septemba 2021

    Ijumaa tarehe 3 Septemba 2021

    Sep 02, 2021 22:02

    Leo ni Ijumaa tarehe 25 Muharram 1443 Hijria sawa na Septemba 3 mwaka 2021.

  • Kuhuishwa uhusiano wa Qatar na Misri baada ya Saudi Arabia

    Kuhuishwa uhusiano wa Qatar na Misri baada ya Saudi Arabia

    Aug 26, 2021 09:15

    Salim Mubarak Al Shafi balozi wa Qatar mjini Cairo Jumatatu wiki hii alikutana na kufanya mazungumzo na Sameh Hassan Shoukry Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri na akamkabidhi hati yake ya utambulisho.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS