Jun 09, 2020 08:54
Mwakilishi wa Qatar katika Umoja wa Mataifa amepokea vizuri juhudi za Kuwait za kujaribu kutatua mzozo uliopo baina ya Qatar na nchi nne za Kiarabu na kusisitiza kuwa, kuheshimiwa haki ya kujitawala Qatar ndilo sharti kuu la Doha la kufanya mazungumzo na nchi nne za Kiarabu za Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), Bahrain na Misri.