Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Lavrov: Lengo la kikao cha Afghanistan huko Russia ni kusaidia mazungumzo kati ya Waafghani huko Qatar

    Mar 12, 2021 23:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, mazungumzo ya amani ya Afghanistan huko Moscow mji mkuu wa Russia si kwa ajili ya kuyashindanisha na mazungumzo ya makundi ya Kiafghani huko Qatar ; bali yatafanyika kwa ajili ya kusaidia mchakato huo.

  • Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo

    Rouhani: Usalama na amani ya Asia Magharibi vitaimarishwa kupitia ushirikiano wa nchi za eneo

    Feb 16, 2021 00:05

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi vinaweza kuimarishwa tu kupitia ushirikiano wa mataifa ya eneo hili na wala si kwa uingiliaji wa madola ajinabi.

  • Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Feb 12, 2021 04:13

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.

  • Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo

    Qatar yaishukuru Iran; sisitizo la nafasi chanya ya Iran katika kuleta uthabiti na amani katika eneo

    Jan 29, 2021 06:03

    Huku akisisitiza kuwa uhusiano wa Qatar na nchi mbili za Iran na Uturuki ni mzuri sana, Lolwah al Khater, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amezishukuru nchi hizo kwa kuwa pembeni ya taifa hilo wakati ilipokuwa chini ya mgogoro mkubwa wa kuzingirwa na majirani zake.

  • Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia

    Ishara za mabadiliko katika siasa za kieneo za Saudi Arabia

    Jan 19, 2021 23:09

    Sambamba na kumalizika kipindi cha uongozi wa Donald Trump nchini Marekani, kumedhihirika bayana ishara za mabadiliko katika siasa na sera za kieneo za Saudi Arabia.

  • Qatar yazitaka nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Iran

    Qatar yazitaka nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Iran

    Jan 19, 2021 04:32

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amezitaka nchi za Kiarabu za eneo la Ghuba ya Uajemi zifanye mazungumzo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Makubaliano ya AI-Ula Saudi Arabia na engo zake tofauti

    Makubaliano ya AI-Ula Saudi Arabia na engo zake tofauti

    Jan 08, 2021 23:09

    Kikao cha Baraza na Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi kilifanyika Jumanne iliyopita ya tarehe 5 Januari katika mji wa Al-Ula Saudi Arabia na kuhitimishwa mzingiro dhidi ya Qatar uliodumu kwa zaidi ya miaka mitatu.

  • Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran

    Qatar: Mapatano na Saudia hayabadilishi uhusiano wetu na Iran

    Jan 07, 2021 23:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema mapatano ya nchi yake na Saudia Arabia pamoja na waitifaki wake hayatabadilisha uhusiano mzuri ulioko baina ya Qatar na nchi zingine ikiwemo Iran.

  • Kumalizika mzingiro wa Qatar, suluhu inayoyumbayumba

    Kumalizika mzingiro wa Qatar, suluhu inayoyumbayumba

    Jan 06, 2021 08:52

    Makubaliano ya kukomeshwa mzingiro wa nchi kadhaa za Kiarabu dhidi ya Qatar yametiwa saini katika kikao cha al Ula nchini Saudi Arabia bila ya kuhudhuriwa na viongozi wa nchi za Imarati, Misri, Bahrain na Oman.

  • Ansarullah: Kusalimu amri Saudia mbele ya Qatar kunaonesha uvamizi na mzingiro umefeli

    Ansarullah: Kusalimu amri Saudia mbele ya Qatar kunaonesha uvamizi na mzingiro umefeli

    Jan 06, 2021 01:11

    Harakati ya Ansarullah ya Yemen imesema hatua ya Saudi Arabia kuondoa mzingiro na kufungua tena mipaka yake ya anga, nchi kavu na baharini na Qatar inaonesha wazi kuwa sera za uvamizi na mzingiro zimefeli na kugonga mwamba.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS