Mar 24, 2018 14:46
Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Qatar amefichua kwamba, nchi nne zinazoizingira nchi hiyo zikiongozwa na Saudi Arabia, zimetoa sharti zito kwa Doha kwamba, inatakiwa kuchagua moja ya mambo mawili, ima kuachana na maandalizi ya michuano ya kombe la dunia 2022, au kuendelea kuzingirwa na nchi hizo.