Feb 10, 2018 01:38
Siku ya Alkhamisi, Sheikh Tamim bin Ahmad Aal Thani, Amir wa Qatar alifanya mazungumzo na Ismail Hania, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS. Baada ya mazuangumzo hayo, Sheikh Tamim alitoa msaada wa Dola milioni 9 kwa ajili ya watu wa Ukanda wa Gaza.