Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qatar

  • Qatar yawasilisha rasmi malalamiko UN kutokana na uhasama wa Saudia

    Qatar yawasilisha rasmi malalamiko UN kutokana na uhasama wa Saudia

    Jun 19, 2017 22:02

    Serikali ya Qatar imewasilisha malalamiko yake rasmi kwa Umoja wa Mataifa kufuatia hatua ya Saudia, Bahrain, Misri na Imarat ya kuiwekea mzingiro wa kiuchumi na kisiasa, baada ya nchi hizo kudai kuwa, Doha inaunga mkono ugaidi.

  • Kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki lawasili nchini Qatar

    Kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki lawasili nchini Qatar

    Jun 19, 2017 03:30

    Serikali ya Qatar imetangaza kuwa kundi la kwanza la wanajeshi wa Uturuki limewasili katika mji mkuu wa nchi hiyo Doha katika utekelezaji wa makubaliano ya kijeshi yaliyofikiwa baina ya nchi mbili.

  • Utegemezi usio na mwamana wa serikali ya Doha kwa Marekani, kosa kubwa la Qatar

    Utegemezi usio na mwamana wa serikali ya Doha kwa Marekani, kosa kubwa la Qatar

    Jun 18, 2017 05:48

    Katika hali ambayo kwenye mgogoro wa Saudia na Qatar, serikali ya Marekani imesimama upande wa watawala wa Aal Saud, Ijumaa ya juzi ya tarehe 16 Juni, jeshi la majini la Qatar lilifanya maneva ya pamoja ya kijeshi na kikosi cha baharini cha Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.

  • Qatar yaomba msaada wa Umoja wa Mataifa

    Qatar yaomba msaada wa Umoja wa Mataifa

    Jun 17, 2017 11:03

    Mkuu wa Kamati ya Taifa ya Haki za Binadamu ya Qatar katika ofisi za Umoja wa Mataifa mjini Geneva Uswisi ameuomba umoja huo uingilie kati na kutatua mgogoro ulioanzishwa na Saudia, Imarati, Bahrain na Misri dhidi ya nchi yake.

  • Mwanasiasa Tunisia: Mzingiro wa Waarabu dhidi ya Qatar ni ishara ya kufeli Arab League

    Mwanasiasa Tunisia: Mzingiro wa Waarabu dhidi ya Qatar ni ishara ya kufeli Arab League

    Jun 16, 2017 10:55

    Nizar Ayyad mjumbe wa ngazi ya juu wa chama cha Nida nchini Tunisia amesema kuwa, kitendo cha kuzingirwa na kuwekewa vikwazo taifa la Qatar, ni ishara ya wazi ya kushindwa vibaya Saudia, Baraza la Ushirikiano la Ghuba ya Uajemi na Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).

  • Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar

    Mauzo ya silaha, faida ya Marekani kutokana na mgogoro wa Saudia na Qatar

    Jun 16, 2017 08:31

    Hatua ya Saudi Arabia na kundi lake ya kuanzisha mgogoro na nchi ndogo ya Qatar, imeipa Marekani kisingizio cha kuiuzia Doha ndege 36 za kivita aina ya F 15 zenye thamani ya dola bilioni 12.

  • Qatar yaondoa askari wake waliotumwa kwenye mpaka wa pamoja wa Djibouti na Eritrea

    Qatar yaondoa askari wake waliotumwa kwenye mpaka wa pamoja wa Djibouti na Eritrea

    Jun 14, 2017 23:47

    Qatar imetangaza kuwa imewaondoa askari wake wa kulinda amani kwenye mpaka unaozozaniwa na nchi mbili za Djibouti na Eritrea baada ya mataifa hayo mawili ya Afrika Mashariki kujiunga na kambi ya Saudi Arabia katika mgogoro ulioanzishwa na nchi hiyo na washirika wake dhidi ya Qatar.

  • Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Kenya na Iran zajadili mgogoro kati ya Qatar, Saudia na wapambe wake

    Jun 14, 2017 03:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametahadharisha kuwa, mgogoro unaoshuhudiwa hivi sasa katika eneo hili la Mashariki ya Kati yumkini ukapelekea madola fulani kuongeza kiwango cha ununuzi wa silaha.

  • Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu

    Wasiwasi wa Amir wa Kuwait kuhusiana na mpasuko katika ulimwengu wa Kiarabu

    Jun 13, 2017 23:46

    Sambamba na kuendelea mgogoro katika ulimwengu wa Kiarabu, Amir wa Kuwait ameelezea wasiwasi mkubwa alionao kutokana na kuendelea mvutano katika uhusiano wa baadhi ya nchi za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi na kutahadharisha kuhusiana na matokeo mabaya ya kuendelea hitilafu kati ya Saudi Arabia na Qatar.

  • Amnesty yashutumu uamuzi wa Saudia na wapambe wake dhidi ya Qatar

    Amnesty yashutumu uamuzi wa Saudia na wapambe wake dhidi ya Qatar

    Jun 13, 2017 09:26

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua zisizo na mantiki za Saudi Arabia na wapambe wake dhidi ya Qatar.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS