-
Jumapili tarehe 3 Septemba 2023
Sep 03, 2023 09:48Leo ni Jumapili tarehe 17 Safar 1445 Hijria sawa na Septemba 3 mwaka 2023.
-
Imarati na Qatar katika mkondo wa kupanua mahusiano
Jul 25, 2023 08:14Amir wa Qatar amemteua Sultan Salmeen Saeed Al-Mansouri kuwa balozi wa mpya wa nchi hiyo katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Qatar ni ya kuimarisha uhusiano na nchi jirani
Jun 20, 2023 06:38Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu ya Iran ameonana na kufanya mazungumzo na Amir wa Qatar na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo na wamejadiliama njia za kustawisha zaidi uhusiano baina yao na pia ushirikiano na uhusiano mzuri wa nchi za eneo hili zima.
-
Qatar na Imarati zarejesha uhusiano kamili wa kidiplomasia, mabalozi wa pande mbili waanza kazi
Jun 19, 2023 23:44Qatar na Muungano wa Falme za Kiarabu (Imarati) zimetangaza kurejesha kikamilifu uhusiano wao wa kidiplomasia na tayari mabalozi wa pande hizo mbili wameanza kazi.
-
Sisitizo la Iran na Qatar la kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 22, 2023 05:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar kuwa kupanua na kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni kipaumbele cha sera za nje za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Qatar na Iran zasisitiza uhusiano wa pande mbili na kuiunga mkono Palestina
Apr 21, 2023 07:47Rais Ibrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuimarisha zaidi uhusiano na majirani ni katikia sera za kigeni za Tehran zinazopewa kipaumbele.
-
Qatar: Kuwaunga mkono Wapalestina ni kipaumbele katika sera zetu za nje
Apr 14, 2023 03:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar amesema, kuwaunga mkono wananchi wa Palestina ni kipaumbele cha kwanza cha sera za nje za nchi hiyo.
-
Qatar: Israel inabeba dhima ya kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika msikiti wa al-Aqswa
Apr 08, 2023 04:28Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Qatar imetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unabeba dhima ya kuenea vitendo vya utumiaji mabavu katika msikiti wa al-Aqswa kutokana na hatua za kichochezi za utawala huo vamizi
-
Mapitio ya safari ya Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar nchini Iran
Mar 28, 2023 08:12Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Qatar amefanya safari hapa mjini Tehran ambapo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri wa Mashauri ya Kigeni na Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran.
-
Qatar: Tunaendelea kufanya juhudi ili kufikiwa mapatano kati ya Iran na Magharibi
Feb 02, 2023 04:18Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar amesisitiza kuendelezwa juhudi ili kukurubisha mitazamo kati ya Iran na nchi za Magharibi katika mazungumo ya nyuklia.