• Netanyahu aungana na walowezi zaidi ya laki moja kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa

    Netanyahu aungana na walowezi zaidi ya laki moja kuuvunjia heshima Msikiti wa Al-Aqsa

    Sep 20, 2026 13:59

    Sambamba na Wazayuni zaidi ya 100,000 kuuvamia Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa, waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu naye pia ameungana na wazayuni hao katika kulivunjia heshima eneo hilo takatifu kwa kufika hadi kando ya ukuta wake wa Buraq na kwenye njia zake za chini kwa chini.

  • Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds licha ya kudondoshewa mabomu na US, Israel

    Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds licha ya kudondoshewa mabomu na US, Israel

    Mar 13, 2026 06:36

    Mamilioni ya wananchi wa Iran katika pembe zote za nchi wameshiriki katika maandamano makubwa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa, huku tawala za kitwaghuti za Marekani na Israel zikiendelea kushambulia kwa mabomu miji mbali mbali ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Waislamu Nigeria wawakumbuka Mashahidi wa Siku ya Quds

    Waislamu Nigeria wawakumbuka Mashahidi wa Siku ya Quds

    May 12, 2025 07:44

    Taasisi ya 'Wakfu wa Shuhada' ya Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imewakumbuka na kuwaenzi mashahidi 27 waliouawa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo wakati wa maandamano ya amani ya Siku ya Quds ya 2025 huko Abuja, na kusisitiza kujitolea kwao kwa kadhia ya Palestina.

  • Ben-Gvir aagiza kufungwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds

    Ben-Gvir aagiza kufungwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds

    Apr 29, 2025 23:01

    Waziri wa wa Israel mwenye misimamo ya kufurutu ada, Itamar Ben-Gvir, ameamuru kufungwa kwa ofisi ya Mfuko na Wakfu wa al-Quds katika eneo la Quds Mashariki linalokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni; huu ukiwa ni ukiukaji wa wazi wa kanuni za kimataifa, ukiashiria hatua nyingine ya kichokozi inayowalenga Wapalestina katika eneo hilo.

  • Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds

    Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds

    Mar 28, 2025 04:15

    Wananchi Waislamu wa Iran kote nchini wamejitokeza kwa mamilioni kushiriki katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds, kuonyesha mshikamano na Palestina, na kulaani ukatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina hasa katika Ukanda wa Gaza.

  • Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ya mwaka huu itakuwa ya aina yake

    Kiongozi Muadhamu: Siku ya Quds ya mwaka huu itakuwa ya aina yake

    Mar 27, 2025 23:31

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu yanayofanyika leo Ijumaa ya Machi 28 kote duniani yana umuhimu mkubwa kuliko miaka iliyopita.

  • Hamas yataka walimwengu wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono Palestina Siku ya Quds

    Hamas yataka walimwengu wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono Palestina Siku ya Quds

    Mar 27, 2025 07:39

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas imetoa mwito wa kuhamasishwa walimwengu kujitokeza kwa wingi katika siku za Ijumaa, Jumamosi na Jumapili ili kuonyesha mshikamano na Gaza na al-Quds wakati huu ambapo Israel, kwa uungaji mkono wa Marekani, inaendelea na vita vyake vya mauaji ya halaiki dhidi ya Wapalestina Gaza, mkabala wa kimya cha dunia.

  • Ayatullah Khatami: Siku ya Quds itakuwa tofauti kabisa mwaka huu

    Ayatullah Khatami: Siku ya Quds itakuwa tofauti kabisa mwaka huu

    Mar 29, 2024 08:42

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza na kusema kuwa, hadithi ya Siku ya Kimataifa ya Quds mwaka huu, itakuwa hadithi tofauti kabisa kutokana na hamasa na wingi wa watu watakaoshiriki matembezi ya siku hiyo.

  • "Siku ya Quds imebakisha hai kadhia ya Palestina"

    Mar 26, 2024 22:38

    Mkuu wa Makao Makuu ya Intifadha na Siku ya Quds ya Iran amesema maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yana umuhimu mkubwa katika kubakisha hai kadhia ya ukombozi wa Palestina.

  • OIC: Papua New Guinea imefanya makosa kwa kufungua ubalozi Quds

    OIC: Papua New Guinea imefanya makosa kwa kufungua ubalozi Quds

    Sep 08, 2023 04:07

    Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imekosoa vikali hatua ya Papua New Guinea kufungua ubalozi katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.