-
Australia yatengua uamuzi wa kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa Israel
Oct 18, 2022 04:07Serikali ya Australia imetangaza habari ya kubatilisha uamuzi wake tata wa kulitambua eneo la magharibi mwa Quds linalokaliwa kwa mabavu, eti kuwa ni mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
Wazayuni walaumiwa kwa kupungua idadi ya Wakristo mjini Quds
Mar 25, 2022 21:53Viongozi wa Kikristo wameeleza hofu yao kutokana na kupungua kwa kiwango cha kushtua idadi ya Wakristo katika mji wa Quds (Jerusalem) huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Palestina, OIC zailaani Honduras kwa kuuhamishia ubalozi wake Quds
Jun 26, 2021 08:12Wizara ya Mambo ya Nje ya Palestina imekosoa vikali hatua ya serikali ya Honduras ya kuuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu kutoka Tel Aviv.
-
Hamas: Msikiti wa al-Aqsa utakombolewa karibuni hivi
Jun 20, 2021 22:24Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema taifa la Palestina karibuni hivi litaukomboa Msikiti mtukufu wa al-Aqsa, huko Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Brigedia Jenerali Qaani: Wazayuni waondoke mara moja katika ardhi za Wapalestina
May 29, 2021 08:02Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema wakati umefika kwa utawala wa Kizayuni wa Israel kuondoka katika ardhi za Wapalestina unaozikalia kwa mabavu haraka iwezekanavyo.
-
Baada ya kushindwa katika vita vya Gaza Wazayuni wavamia Msikiti wa al Aqsa, wawazuia Wapalestina kufanya ibada
May 23, 2021 06:54Hali ya wasiwai imetanda tena katika viwanja vya Msikiti wa al Aqsa huko Palestina kutokana na hujuma ya walowezi wa Kizayuni wanaowashambulia raia wa Palestina wanaoelekea eneo hilo kwa ajili ya ibada baada ya jeshi la utawala katili wa Israel kushindwa kufikia malengo yake katika vita vya siku 12 huko Gaza.
-
Wanachama wa Harakati ya Kiislamu Nigeria washiriki matembezi ya Siku ya Quds
May 08, 2021 07:51Wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria jana Ijumaa walijitokeza kwa wingi katika matembezi ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika miji mikubwa ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Kurejea Wapalestina katika ardhi zao ndio suluhu ya kadhia ya Palestina
May 07, 2021 03:51Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua na kusimamia kazi za Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu limesema kutimuliwa Wazayuni maghasibu na kurejea Wapalestina katika ardhi za mababu zao ndilo suluhisho pekee la mgogoro wa Palestina-Israel.
-
Hizbullah: Ukombozi wa Quds umekaribia zaidi ya wakati wowote ule
May 06, 2021 08:15Mkuu wa Baraza Kuu la Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema ukombozi wa Quds tukufu umejongea wakati huu, kuliko wakati mwingine wowote ule.
-
Abdollahian: Iran ina stratejia maalumu ya kuwaunga mkono Wapalestina
May 05, 2021 03:02Mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema Iran ina stratejia maalumu, thabiti na kabambe ya kuwaunga mkono na kuwasaidia wananchi wa Palestina.