-
Israel imebomoa makumi ya majengo ya Wapalestina mjini Quds
May 04, 2021 01:33Shirika huru la kutetea haki za binadamu limesema utawala wa Kizayuni wa Israel umebomoa majengo 58 ya Wapalestina katika mji wa Baitul Muqaddas (Jerusalem) tokea mwanzoni mwa mwaka huu hadi sasa.
-
Palestina yataka dunia iishinikize Israel iruhusu uchaguzi Quds
Apr 29, 2021 02:28Msemaji wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina ameiasa jamii ya kimataifa iushinikize zaidi utawala wa Kizayuni wa Israel ili ukubali kufanyika uchaguzi wa Bunge la Palestina katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Iran yalaani hujuma za Wazayuni dhidi ya Wapalestina wa Quds tukufu
Apr 25, 2021 05:58Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali uvamizi na chokochoko mpya za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina katika mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu.
-
Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds
Mar 15, 2021 10:50Waislamu wameghadhabishwa mno na kitendo cha Kosovo kufungua ubalozi wa nchi hiyo ndogo ya Ulaya katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Mufti Mkuu wa Misri aonya dhidi ya mpango wa Israel wa kuiyahudisha Quds
Feb 27, 2021 12:07Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
-
Manung'uniko baada ya Equatorial Guinea kusema itahamishia ubalozi wake Quds
Feb 20, 2021 12:42Hatua ya mtawala wa muda mrefu wa Equatorial Guinea kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel kutoka Tel Aviv imekosolewa vikali ndani ya nje ya nchi.
-
Malawi kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufungua ubalozi Quds inayokaliwa kwa mabavu
Nov 05, 2020 03:57Malawi inatazamiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufuata mkumbo wa Marekani wa kufungua ubalozi katika mji mtukufu wa Quds huko Palestina unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Mahakama ya Israel yatoa agizo la kubomolewa msikiti Quds Mashariki
Sep 15, 2020 07:29Mahakama moja katika utawala wa Kizayuni wa Israel imetoa amri ya kubomolewa msikiti mmoja ulioko mashariki wa Quds Tukufu inayokaliwa kwa mabavu.
-
HAMAS yatoa wito wa kuanzishwa Kamati ya Kitaifa ya Kutetea Quds Tukufu
Aug 07, 2020 10:41Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) imetoa wito wa kuanzishwa kamati ya mirengo yote ya Palestina kwa ajili ya kuutetea mji wa Quds Tukufu (Jerusalem) na kuulinda kutokana na hujuma ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds
May 23, 2020 10:30Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.