Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • (Hatua kwa Hatua Hadi Siku ya Quds) Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds

    (Hatua kwa Hatua Hadi Siku ya Quds) Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu umuhimu wa Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 08, 2018 01:38

    Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu ya wiki hii alitoa hotuba muhimu katika Haram ya Imam Khomeini MA, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo moja ya nukta muhimu zilizojikita kwenye hotuba yake hiyo ni kadhia ya Palestina na hasa Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo inaadhimishwa leo Ijumaa kote ulimwenguni.

  • Netanyahu: Ni makosa maandamano ya Siku ya Quds kufanyika London na katika miji mingine muhimu duniani

    Netanyahu: Ni makosa maandamano ya Siku ya Quds kufanyika London na katika miji mingine muhimu duniani

    Jun 08, 2018 00:06

    Wakati Waislamu na watetezi wa haki na uadilifu duniani kote wanajiandaa kushiriki kwenye maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds hii leo, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema anatiwa wasiwasi na kufanyika maandamano hayo katika nchi mbalimbali duniani.

  • Imam wa msikiti wa Al-Aqsa: Macho ya walimwengu yameelekezwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Quds

    Imam wa msikiti wa Al-Aqsa: Macho ya walimwengu yameelekezwa kwenye Siku ya Kimataifa ya Quds

    Jun 08, 2018 00:06

    Imam na Khatibu wa msikiti wa Al-Aqsa amesisitiza kuwa mamlaka ya msikiti huo yatabaki kuwa mikononi mwa Waislamu na kwamba wanaovamia na kukivunjia heshima kibla hicho cha kwanza cha Waislamu hawatopata faida yoyote.

  • Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI

    Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI

    Jun 07, 2018 10:28

    Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.

  • Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina  kuhusu Siku ya Quds+SAUTI

    Mahojiano na Mwenyekiti wa Harakati ya Kenya na Palestina kuhusu Siku ya Quds+SAUTI

    Jun 07, 2018 09:31

    Mwandishi wa Radio Tehran mjini Mombasa, Seifullah Murtadha amezungumza na Mwenyekiti wa Harakati ya Mshikamano wa Kenya na Palestina, Bw. Abdulqadir Nasser kuhusu umuhimu wa Siku ya Quds.

  • Maulama na shakhsia wa Kisuni Afghanistan waunga mkono mwito wa Imam Khomeini kuhusu siku ya Quds

    Maulama na shakhsia wa Kisuni Afghanistan waunga mkono mwito wa Imam Khomeini kuhusu siku ya Quds

    Jun 06, 2018 10:16

    Maulama na shakhsia mbalimbali wa Kisuni nchini Afghanistan sambamba na kuunga mkono mwito wa Imam Ruhullah Khomein (MA) Mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na siku ya kimataifa ya Quds, wameutaka umma wa Kiislamu kusimama pamoja na taifa madhlum la Palestina katika siku hiyo.

  • Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    Marekani, Israel, Saudia zachochea machafuko Jordan kwa kupinga kuhamishiwa ubalozi wa Marekani mjini Quds

    Jun 05, 2018 22:04

    Gazeti moja la utawala wa Kizayuni wa Israel limefichua kuwa, Israel, Marekani, Saudi Arabia na baadhi ya nchi nyingine za Kiarabu zinahusika katika machafuko yanayoendelea nchini Jordan kutokana na nchi hiyo kushiriki katika kikao cha kupinga kuhamishiwa Quds ubalozi wa Marekani uliokuweko Tel Aviv.

  • Ayatullah Jannati: Uhai wa Israel umeshafikia ukingoni

    Ayatullah Jannati: Uhai wa Israel umeshafikia ukingoni

    Jun 05, 2018 09:21

    Katibu wa Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds na kusisitiza kuwa: Uhai wa utawala wa Israel umefikia ukingoni, na muda si mrefu tutasherehekea kuangamizwa kwa utawala huo ili kuifuta shari yake katika kibla cha kwanza cha Waislamu.

  • Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya

    Siku ya Kimataifa ya Quds Kufanyika Nairobi, Kenya

    Jun 04, 2018 23:21

    Wapenda haki na amani nchini Kenya watajiunga na wenzao kote duniani katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa wiki hii.

  • Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu

    Ushindi wa Palestina; utukufu wa ulimwengu wa Kiislamu

    Jun 04, 2018 03:52

    Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistatijia cha Taasisi ya Kimataifa ya Mweamko wa Kiislamu amesema kwamba ushindi wa taifa la Palestina dhidi ya utawala haramu wa Isreal unauletea utukufu ulimwengu wa Kiislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS