Kenya yatakiwa kukata uhusiano na utawala pandikizi wa Israel +SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i45536-kenya_yatakiwa_kukata_uhusiano_na_utawala_pandikizi_wa_israel_sauti
Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.
(last modified 2026-01-14T11:42:18+00:00 )
Jun 07, 2018 14:58 UTC

Wanaharakati wa vuguvugu la Muungano wa Kenya na Palestina wameapa kuishinikiza serikali kusitisha uhusiano na serikali ya kidhalimu ya Israel na washirika wake wa karibu kama vile Marekani, baada ya madola hayo kuendeleza hujuma za wazi dhidi ya Wapalestina na kuikalia ardhi yao kwa mabavu.

Wanaharakti hao wameyasema hayo kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds, ambayo huadhimishwa kila Ijumaa ya mwisho ya mwezi wa Ramadhani ;ambapo mwaka huu pia itaadhimishwa duniani kote sawa na tarehe 8 Juni.