-
Jumuiya ya Nchi za Kiarabu yalaani tangazo la kuhamishia ubalozi wa Marekani Quds Tukufu
Feb 25, 2018 03:53Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imelaani vikali hatua ya Marekani kutangaza kuwa itahamisha ubalozi wake kutoka Tel Aviv hadi Quds Tukufu (Jerusalem).
-
Kigogo wa makasino kugharamia kuhamishiwa ubalozi wa Marekani Baitul-Muqaddas
Feb 24, 2018 23:19Sheldon Adelson, bilionea wa Kiyahudi ambaye ni muungaji mkono mkubwa wa utawala ghasibu wa Israel ametangaza kuwa, atatoa gharama za kuhamishiwa ubalozi wa Marekani huko Baitul-Muqaddas.
-
Marekani kuuhamishia Quds (Jerusalem) ubalozi wake wa Tel Aviv mwezi Mei mwaka huu
Feb 24, 2018 00:28Licha ya upinzani mkubwa ulioanzia eneo la Mashariki ya Kati na ulimwengu kwa jumla, Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imetangaza kuwa mnamo mwezi Mei mwaka huu ubalozi wa nchi hiyo ulioko Tel Aviv utahamishiwa Baitul Muqaddas inayokaliwa kwa mabavu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 26 na sauti
Feb 18, 2018 12:36Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Njama za utawala wa Kizayuni wa Israel za kuwatimua Wakristo kutoka Quds Tukufu
Feb 04, 2018 04:36Baraza la Kiislamu-Kikristo la Kuunga Mkono Quds Tukufu (Jerusalem) limetangaza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unatekeleza njama za kuwatimua Wakristo kutoka Quds ili kubadilisha muundo wa kijamii wa mji huo uwe ni aghalabu wa Mayahudi.
-
Arab League: Hujuma dhidi ya Beitul-Muqaddas ni kucheza na moto
Feb 02, 2018 00:49Ahmed Aboul Gheit, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu amesema kuwa, hujuma na uvamizi dhidi ya Beitul Muqaddas ni sawa na kucheza na moto.
-
Araqchi: Quds ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu
Jan 31, 2018 12:02Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Ni yakini kwamba Quds tukufu ni mji mkuu wa asili wa Ulimwengu wa Kiislamu na utarejea mikononi mwa Umma wa Kiislamu.
-
PLO: Hakuna mazungumzo na Marekani bila ya kufutwa uamuzi wa Trump kuhusu Quds
Jan 31, 2018 04:40Katibu wa kamati ya utendaji ya Harakati ya Ukombozi wa Palestina (PLO) amesisitiza kuwa, hakutafanyika mazungumzo au maonyesho yoyote yale na Marekani madhali Rais Donald Trump wa nchi hiyo hajafuta uamuzi wake wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel.
-
UN yapinga tena uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Quds tukufu
Jan 26, 2018 13:13Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimesisitiza tena upinzani wa jamii ya kimataifa dhidi ya uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake katika mji mtakatifu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na Israel.
-
Baraza la Usalama linakutana leo kujadili kadhia ya Palestina
Jan 25, 2018 03:18Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa linakutana leo Alkhamisi katika kikao chake cha dharura kwa shabaha ya kujadili kadhia ya Palestina.