Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds

    Rais mteule wa Brazil akosolewa kwa kutaka kuuhamishia ubalozi wa nchi yake Quds

    Nov 02, 2018 04:34

    Rais mteule wa Brazil amekosolewa vikali ndani na nje ya nchi kwa kusema kuwa nchi hiyo inatathmini mpango wa kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds tukufu inayokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel kutoka Tel Aviv.

  • Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel

    Wapalestina zaidi 300 wameuliwa shahidi tangu Quds itangazwe kuwa mji mkuu wa Israel

    Nov 01, 2018 12:51

    Kituo cha Palestina cha Quds cha taaluma za masuala ya Kizayuni kimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 300 wameuliwa shahidi na askari wa Israel tangu Baitul Muqaddas itangazwe kuwa mji mkuu wa utawala huo wa Kizayuni.

  • PLO: Hakuna amani Mashariki ya Kati bila ya kuundwa dola huru la Palestina

    PLO: Hakuna amani Mashariki ya Kati bila ya kuundwa dola huru la Palestina

    Oct 26, 2018 01:05

    Msemaji wa Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa, amani haiwezi kupatikana katika eneo la Mashariki ya Kati bila ya kuundwa nchi huru ya Palestina mji mkuu wake ukiwa Quds tukufu.

  • Wapalestina 6 wauliwa shahidi na zaidi ya 190 wajeruhiwa katika Ijumaa ya

    Wapalestina 6 wauliwa shahidi na zaidi ya 190 wajeruhiwa katika Ijumaa ya "Intifadha ya Quds"

    Oct 13, 2018 00:09

    Wapalestina wasiopungua sita wameuliwa shahidi na wengine zaidi ya 190 wamejeruhiwa katika Ijumaa ya 29 ya maandamano ya "Haki ya Kurejea" yaliyofanyika kwa kaulimbiu ya "Intifadha ya Quds" huko Ukanda wa Gaza Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Ahmad Bahar: Quds ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Ahmad Bahar: Quds ni mji mkuu wa milele wa Palestina

    Oct 06, 2018 11:56

    Naibu Spika wa Bunge la Palestina amesema kuwa, hatua ya Rais Donald Trump wa Marekani ya kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala haramu wa Israel haiwezi kubadilisha ukweli wa mambo kwani Quds utaendelea kubakia kuwa mji mkuu wa daima wa Palestina.

  • Mamlaka ya Ndani Palestina: Marekani inapotosha historia ya Quds

    Mamlaka ya Ndani Palestina: Marekani inapotosha historia ya Quds

    Sep 14, 2018 19:29

    Msemaji wa serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesema kuwa matamshi ya Jared Kushner ambaye ni msaidizi na mkwe wa Rais Donald Trump wa Marekani ni jitihada za kupotosha historia ya Palestina hususan ya mji wa Quds (Jerusalem) na maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo.

  • Radiamali ya Hizbullah kwa hatua za Marekani dhidi ya Palestina

    Radiamali ya Hizbullah kwa hatua za Marekani dhidi ya Palestina

    Sep 12, 2018 03:19

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon Hizbullah imesema kuwa Washington inaendeleza uadui wake dhidi ya wananchi wa Palestina kwa kustafidi na mbinu zote chafu.

  •  Indhari ya nchi tano za Ulaya kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Indhari ya nchi tano za Ulaya kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Sep 10, 2018 23:47

    Nchi tano za Ulaya zimeutahadharisha utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya utawala huo kuchukua uamuzi wa kubomoa kijiji cha Khan al Ahmar mashariki mwa mji mtakatifu wa Quds.

  • Indhari ya Wapalestina kuhusu kugawanywa msikiti wa al Aqsa

    Indhari ya Wapalestina kuhusu kugawanywa msikiti wa al Aqsa

    Aug 27, 2018 03:02

    Idara ya Waqfu ya Quds na inayosimamia msikiti wa al Aqsa imesisitiza kuwa msikiti huo ni sehemu takatifu kiimani na kiitikadi ya kila Muislamu isiyoweza kugawanywa wala kuwa na ubia.

  • Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds

    Israel yabomoa kituo cha watoto wa Kipalestina mashariki wa mji wa Quds

    Jul 25, 2018 22:36

    Duru za habari kutoka Palestina zimeripoti kwamba maboldoza ya utawala haramu wa Kizayuni, yamebomoa kituo cha kulelea watoto wadogo pamoja na kituo cha wanawake katika eneo la Jabal al Baba karibu na mji wa al-Eizariya, mashariki mwa mji wa Quds.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS