Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Mufti wa Quds atahadharisdha kuhusu hali mbaya ya Msikiti wa Quds

    Mufti wa Quds atahadharisdha kuhusu hali mbaya ya Msikiti wa Quds

    Jul 19, 2018 12:29

    Mufti wa Msikiti mtakatifu wa Quds huko Palestina inayokaliwa kwa mabavu ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya msikiti huo ambacho ndicho kibla cha kwanza cha Waislamu kote duniani.

  • Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas:  Ni haramu kuwapatia maadui ardhi za Palestina

    Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas: Ni haramu kuwapatia maadui ardhi za Palestina

    Jul 11, 2018 03:10

    Mufti Mkuu wa Beitul-Muqaddas na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ametangaza kuwa, kuwapatia maadui ardhi za Palestina ambazo ni mali ya Wapalestina ni haramu.

  • Mkutano wa Kimataifa wa Quds wafanyika nchini Morocco

    Mkutano wa Kimataifa wa Quds wafanyika nchini Morocco

    Jun 27, 2018 03:44

    Mkutano wa Tano wa Kimataifa kuhusu Quds umefanyika mjini Rabat, Morocco na kuhudhuriwa na wataalamu kadhaa wa kimataifa.

  • Ethiopia yakanusha madai ya kuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu

    Ethiopia yakanusha madai ya kuhamishia ubalozi wake Quds Tukufu

    Jun 12, 2018 09:28

    Serikali ya Ethiopia imekadhibisha vikali madai kuwa inapanga kuuhamishia ubalozi wake mjini Quds, kutoka Tel Aviv.

  • Wapalestina watolewa wito wa kushiriki kwa wingi maandamano ya Ijumaa ya

    Wapalestina watolewa wito wa kushiriki kwa wingi maandamano ya Ijumaa ya "Huruma na Usawa"

    Jun 11, 2018 23:23

    Jopo la taifa la maandamano ya Haki ya Kurejea na Kuondolewa Mzingiro wa Ukanda wa Gaza limetoa wito kwa Wapalestina wa matabaka mbalimbali kushiriki kwa wingi kwenye maandamano ya siku ya Ijumaa yaliyopewa jina la Ijumaa ya "Huruma na Usawa" sambamba na maadhimisho ya Sikukuu ya Idul-Fitri.

  • Utajiri wa Imarati (UAE) na Saudia unatumikia malengo ya Wazayuni

    Utajiri wa Imarati (UAE) na Saudia unatumikia malengo ya Wazayuni

    Jun 10, 2018 12:19

    Naibu wa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu amesema, pesa za Imarati (UAE) na Saudi Arabia zinatumiwa kwenye mipango na njama za utawala ghasibu wa Israel kwa lengo la kununua milki za ardhi na majengo za Wapalestina kandokando ya msikiti wa Al-Aqsa.

  • Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Kenya 2018

    Jun 09, 2018 08:38

    Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Kenya.

  • Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018

    Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds nchini Tanzania 2018

    Jun 09, 2018 08:29

    Siku ya Kimataifa ya Quds ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mwaka huu imesadifiana na tarehe 8 Juni 2018 na imefanyika kwa kufana zaidi duniani kuliko miaka yote iliyopita. Hapa tumeweka baadhi ya picha za maandamano ya siku hiyo nchini Tanzania.

  • Maandamano ya Siku ya Quds yanafanyika katika miji 900 ya Iran na miji 800 kote duniani

    Maandamano ya Siku ya Quds yanafanyika katika miji 900 ya Iran na miji 800 kote duniani

    Jun 08, 2018 03:29

    Maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds yanafanyika leo Ijumaa katika miji 900 ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na katika miji mikubwa na midogo zaidi ya 800 kote duniani.

  • Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel

    Velayati: Muqawama wa Palestina umeidhoofisha mno Israel

    Jun 08, 2018 02:57

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema harakati za muqawama wa Palestina zimeudhoofisha utawala wa Kizayuni, na kuandaa mazingira ya kupata ushindi mkubwa dhidi ya Tel Aviv.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS