Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Qur'ani Tukufu

  • Qur'ani yachomwa tena Sweden; Waislamu na Wakristo waandamana

    Qur'ani yachomwa tena Sweden; Waislamu na Wakristo waandamana

    Aug 15, 2023 07:46

    Kwa mara nyingine tena, kafiri Salwan Momika, mkimbizi wa Iraq anayeishi nchini Sweden ameivunjia heshima Qur'ani Tukufu mjini Stockholm chini ya himaya ya polisi ya nchi hiyo ya Ulaya.

  • "Serikali za Kiislamu ziyawekee vikwazo mataifa yanayoidhalilisha Qur'ani"

    Aug 06, 2023 07:28

    Mkuu wa Kamati ya Haki za Binadamu katika Majlsi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) ametoa mwito kwa madola ya Kiislamu kuziwekea vikwazo nchi zinazounga mkono vitendo vya kuvunjia heshima Kitabu Kitakafu cha Qur'ani.

  • Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka

    Wasomi UK: Kushambulia Qur'ani ni uchupaji mipaka

    Aug 06, 2023 07:07

    Wasomi mashuhuri nchini Uingereza wamelaani vitendo vya kuchoma moto Qur'ani Tukufu katika nchi za Scandinavia na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya uchupaji mipaka vinapaswa kukomeshwa.

  • Papa Francis: Kuivunjia heshima Qurani ni ukatili

    Papa Francis: Kuivunjia heshima Qurani ni ukatili

    Aug 02, 2023 02:20

    Kwa mara nyingine tena Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amelaani vitendo vya karibuni vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Sweden na Denmark na kusisitiza kuwa, vitendo hivyo vya kudhalilisha matukufu ya kidini havina tofauti na ukatili.

  • Upinzani Sweden wamtaka mbunge aliyemtusi Mtume (saw) kujiuzulu

    Upinzani Sweden wamtaka mbunge aliyemtusi Mtume (saw) kujiuzulu

    Jul 29, 2023 04:17

    Upinzani nchini Sweden umemtaka mkuu wa Kamati ya Haki Bungeni na mwanachama wa chama cha Democrats kujiuzulu, baada ya kuchapisha maandishi ya kumkashifu Mtume Muhammad (saw) kupitia mitandao ya kijamii, huku Waziri wa Sheria wa Sweden akikiri kwamba, matukio ya kuchomwa moto Qur'ani Tukufu yameathiri vibaya sura ya nchi yake.

  • Hujjatul Islam Akbari: Walioivunjia heshima Qur'ani walitaka kuibua vita vya kidini

    Hujjatul Islam Akbari: Walioivunjia heshima Qur'ani walitaka kuibua vita vya kidini

    Jul 28, 2023 12:49

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran ameashiria vitendo viovu vya kuchomwa moto Qur'ani Tukufu nchini Sweden na Denmark na kusema kuwa, waliokusudia kuibua vita baina ya wafuasi wa dini tofauti kwa kukivunjiwa heshima Kitabu hicho kitukufu wamefeli na kushindwa kufikia malengo yao.

  • Waislamu Nigeria waandamana kulaani kuchomwa moto Qurani

    Waislamu Nigeria waandamana kulaani kuchomwa moto Qurani

    Jul 27, 2023 10:21

    Waislamu nchini Nigeria wamefanya maandamano kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya.

  • Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani

    Iran: Mkono wa Israel unaonekana kwenye vitendo vya kuivunjia heshima Qur'ani

    Jul 26, 2023 03:10

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameashiria kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu katika nchi za Ulaya Magharibi za Sweden na Denmark na kusema kuwa, alama za vidole za utawala haramu wa Israel zinaonekana wazi kwenye vitendo hivyo viovu.

  • Waislamu Afrika Kusini wataka jibu la haraka kwa kuvunjiwa heshima Qurani

    Waislamu Afrika Kusini wataka jibu la haraka kwa kuvunjiwa heshima Qurani

    Jul 24, 2023 11:27

    Waislamu nchini Afrika Kusini wameitaka serikali ya nchi hiyo itoe taarifa ya kulaani vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.

  • Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Iraq: OIC itakutana kujadili kuvunjiwa heshima tena Qur'ani katika nchi za Ulaya

    Jul 23, 2023 13:40

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iraq imetangaza kuwa, Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) inapanga kufanya kikao cha dharura ili kujadili vitendo vya mara kwa mara vya kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu barani Ulaya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS