-
Papa akosoa vitendo vya kuvunjia heshima matukufu ya kidini
Jul 04, 2023 06:49Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis amelaani kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu na kuvunjia heshima matukufu mengine ya kidini.
-
Waislamu duniani wazindua kampeni ya kususia bidhaa za Sweden
Jul 03, 2023 02:51Waislamu katika mitandano ya kijamii wameanzisha kampeni kubwa ya dunia nzima ya kususia bidhaa zinazozalishwa na Sweden, kulalamikia kitendo kiovu cha kudhalilisha na kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini humo.
-
Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran lalaani vikali kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden
Jul 02, 2023 11:55Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kulaani kitendo kiovu cha kudhalilisha na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Sweden.
-
"Ni wajibu kwa kila Muislamu kupinga vitendo vya Wamagharibi kuidhalilisha Qurani"
Jul 01, 2023 11:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mataifa ya Waislamu yana wajibu na jukumu la kulaani na kupinga vitendo vya nchi za Magharibi vya kuvunja heshima matukufu ya Kiislamu, hususan Qurani Tukufu.
-
Marekani yatetea kuchomwa moto Qurani Sweden, UN yalaani
Jul 01, 2023 10:14Huku ulimwengu wa Kiislamu ukiendelea kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu huko nchini Sweden, Marekani imetoa taarifa inayoonekana kuunga mkono na kuhalalisha kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima kitabu kitakatifu cha Waislamu.
-
Ayatullah Sistani ataka Umoja wa Mataifa uzuie kukaririwa vitendo vya kuvunjia heshima Qur'ani
Jun 30, 2023 07:41Ayatullah Sayyid Ali Sistani, Marjaa wa Waislamu wa Kishia ameutaka Umoja wa Mataifa kuchukua hatua za kuzuia kukaririwa vitendo vya kuvunjiwa heshima kitabu cha Waislamu cha Qur'ani Tukufu.
-
Abdollahian akosoa hatua ya Sweden ya kuunga mkono kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 30, 2023 07:25Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali hatua ya Sweden ya kuunga mkono vitendo vya kuvunjiwa heshima matukufu ya dini ikiwemo Qur'ani Tukufu.
-
Mataifa ya Kiislamu yalaani kuchomwa moto Qurani Tukufu Sweden
Jun 30, 2023 03:26Ulimwengu wa Kiislamu umelaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu (kitabu kitakatifu cha Waislamu) huko nchini Sweden.
-
Al Azhar yalaani hujuma ya Wazayuni na kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu
Jun 25, 2023 07:59Taasisi ya al Azhar nchini Misri imelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kiyahudi cha kuchoma moto na kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu.
-
Iran yalaani hatua ya Wazayuni wa Israel ya kuchoma moto Qur'ani Tukufu
Jun 24, 2023 10:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha walowezi wa Kizayuni cha kuvunjia heshima Qur'ani Tukufu wakati wa mashambulizi ya askari wa Israel dhidi ya misikiti katika eneo la Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.