-
Wanafunzi 20 wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu wafanikiwa kuingia fainali za mashindano ya Qur'ani Tukufu
Feb 26, 2022 09:06Mkurugenzi Mkuu wa Kitengo cha Qur'ani, Itra na Sala cha Wizara ya Elimu na Malezi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vijana wadogo 20 wameingia kwenye fainali ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu kwa wanafunzi wa shule za Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Afrika, Sheikh Abdillahi Nassir, aaga dunia
Jan 11, 2022 10:47Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
-
Hatua ya Apple kuondoa programu ya Quran Majeed kwenye maduka yake Uchina yazua maswali mengi
Oct 16, 2021 22:56Hatua ya kampuni ya Apple ya Marekani ya kuondoa program ya Quran Majeed katika maduka yake nchini China imezua maswali mengi juu ya malengo na sababu kitendo hicho.
-
Waislamu Bangladesh waandamana kulaani kuvunjiwa heshima Qurani Hekaluni
Oct 14, 2021 11:12Kwa akali watu watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qurani Tukufu nchini Bangladesh.
-
Rouhani: Kuielewa Qurani Tukufu, ndio ufunguo wa kuongoka vijana
Feb 13, 2021 07:51Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuyaelewa mafundisho sahihi ya Qurani Tukufu ndio ufunguo wa kuongoka katika njia iliyonyooka tabaka la vijana.
-
Askofu Mkuu wa Sweden alaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani tukufu
Sep 14, 2020 04:11Askofu Mkuu wa Sweden na maafisa wengine wa ngazi za juu wa kanisa la nchi hiyo wametoa taarifa wakilaani kitendo cha kundi moja lenye misimamo mikali la nchi hiyo cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu.
-
"Kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni kuukata roho uhuru na ni kuangamiza itikadi"
Sep 04, 2020 07:35Jumuiya ya Walimu wa Chuo Kikuu cha Kidini (Hawza) cha Qum hapa Iran imelaani vikali kuvunjiwa heshima matukufu ya Qur'ani Tukufu na Mtume Muhammad SAW na kusisitiza kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu kwa kisingizio cha uhuru wa itikadi kwa hakika ni kuukata roho uhuru huo na kungamiza kijinai, itakadi ya watu.
-
Taarifa ya Chuo Kikuu cha al-Mustafa juu ya kuvunjiwa heshima Qurani, Sweden
Sep 04, 2020 02:55Chuo Kikuu cha Kimataifa cha al-Mustafa kimetoa taarifa ya kulaani hatua ya kuvunjiwa heshima na kuchomwa moto nakala ya Qurani Tukufu nchini Sweden.
-
Kiongozi Muadhamu: Kutomuogopa adui, ni katika mafundisho muhimu ya Qurani
Apr 25, 2020 22:13Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kutomuogopa adui na kusimama kidete dhidi yake ni katika maamrisho na maelekezo muhimu ya Qurani Tukufu.
-
Nuru ya Imani katika Mwamko wa Imam Khomeini MA
Feb 13, 2020 02:51Hamjambo wapenzi wasikilizake na karibuni kujiunga nami katika makala hii tuliyokutayarishieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ambapo leo tutaangazia namna fikra za Imam Khomeini MA, zilivyoweza kuenea na kuwavutia wasomi wengi duniani.