-
Rais wa Vietnam ajiuzulu kutokana na makosa ya maafisa wake
Jan 17, 2023 09:26Rais wa Vietnam ametangaza kujiuzulu kutokana na utepetevu na makosa yaliyofanywa na maafisa aliokuwa akiwasimamia, ikiwa ni chini ya miaka miwili baada ya kuchukua wadhifa huo.
-
Vigogo wa upinzani kurejea Tanzania kufuatia tangazo la Rais Samia
Jan 10, 2023 04:09Huku Chama cha Demokrasia ya Maendeleo 'Chadema' kikitarajia kuzindua mikutano ya hadhara Januari 21 mwaka huu nchini Tanzania, viongozi wa chama hicho kikuu cha upizani walioko nje ya nchi, Tundu Lissu, Godbless Lema na Ezekia Wenje wanatazamiwa kuwa miongoni mwa washiriki katika mikutano hiyo.
-
Kurudi nyuma kwa serikali ya Macron dhidi ya upinzani
Jan 05, 2023 22:50Serikali ya Ufaransa Jumanne wiki hii ilidokeza uwezekano wa kutazamwa umpya mpango tata wa Rais Emmanuel Macron wa kubadilisha sheria za pensheni. Hatua hiyo inaonekana kuwa ni kusalimu amri mbele ya wapinzani wa mpango huo.
-
Sisitizo la Putin la kuimarisha ushirikiano wa kijeshi kati ya Russia na China kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo ya kijiopolitiki
Dec 31, 2022 07:50Rais Vladimir Putin wa Russia jana Ijumaa aliwasiliana kwa njia ya video na Rais Xi Jinping wa China na kuashiria mapambano ya Beijing na Moscow mkabala wa mashinikizo ya kijiopolitiki na kueleza kuwa ushirikiano wa nchi mbili unasaidia kuwepo mfumo wa kiadilifu duniani.
-
Mgomo mkubwa Tunisia; jibu la kutotekeleza ahadi Rais Kais Saied
Dec 29, 2022 23:03Muungano Sekta ya Usafiri na Uchukuzi wenye mfungamano na Muungano Mkubwa wa Wafanyakazi nchini Tunisia (UGTT) umetangaza mkakati wake wa kufanya mgomo wa siku mbili Januari 25 na 26 mwaka 2023.
-
Jibu kali la Moscow kwa tishio la Marekani la kumuua Putin
Dec 28, 2022 22:54Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia amesema kuwa matamshi ya maafisa wa Marekani katika Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo Pentagon, kuhusu pigo la kukata kichwa cha Kremlin kwa hakika ni tishio la kutaka kumuua kigaidi Rais wa Russia.
-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 27, 2022 22:27Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Raisi: Bibi Fatima (AS) ni kigezo na shakhsia mashuhuri mpenda mageuzi
Dec 27, 2022 04:44Rais wa Iran amemtaja Bibi Fatimatu-Zahra (SA), binti kipenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW kama kigezo cha mwanadamu na shakhsia mashuhuri aliyeleta mageuzi katika historia ya jamii ya wanaadamu.
-
Rais wa Iran amtumia Papa Francis Salamu za Krismasi
Dec 26, 2022 08:31Rais Sayyid Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za pongezi kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa bin Maryam-Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Juu Yake-na kuwadia mwaka mpya wa Miladia.
-
Matukio ya Ukraine na sisitizo la Macron la kupewa dhamana ya usalama Russia
Dec 22, 2022 03:47Vita vya Ukraine vinaendelea kama vilivyo licha ya kuingia mwishoni mwa mwezi wake wa 10 tangu vianze, na hakuna ishara zozote za kumalizika karibuni vita hivyo. Kinachoonekana kwenye matukio ya hivi sasa ni kuzidi kuwa vikali tu vita hivyo.