Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge

    Ushiriki mdogo wa wananchi wa Tunisia katika uchaguzi wa Bunge

    Dec 19, 2022 09:17

    Karibu akthari ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura nchini Tunisia walisusia uchaguzi wa Bunge uliofanyika Jumamosi ya juzi tarehe 17 Disemba.

  • Raisi: Adui ameibua ghasia ili kukwamisha ustawi wa uchumi wa Iran

    Raisi: Adui ameibua ghasia ili kukwamisha ustawi wa uchumi wa Iran

    Dec 14, 2022 07:49

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema maadui wanafanya juu chini ili kuwashughulisha na fujo na ghasia wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, wakiwa na lengo la kukwamisha ustawi wa uchumi wa taifa hili.

  • Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa

    Jibu la Iran kwa taarifa ya pamoja ya China na Saudia na madai yaliyoibuliwa

    Dec 11, 2022 23:11

    Mohammad Jamshidi, Mkuu wa masuala ya kisiasa katika Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika ujumbe kwenye ukurasa wake wa Twitter kujibu matamshi ya Rais wa China aliyotoa wakati wa ziara yake nchini Saudi Arabia.

  • Raisi: Damu toharifu za 'mashahidi wa usalama' zinawatia kiwewe maadui

    Raisi: Damu toharifu za 'mashahidi wa usalama' zinawatia kiwewe maadui

    Dec 09, 2022 22:53

    Rais wa Iran amesema damu toharifu za maafisa usalama wa Jamhuri ya Kiislamu waliouawa shahidi zimewakasirisha na kuwatia kiwewe maadui wa taifa hili.

  • Raisi: Wairani hawawezi kuhadaiwa na nara bandia za 'uhuru'

    Raisi: Wairani hawawezi kuhadaiwa na nara bandia za 'uhuru'

    Dec 08, 2022 09:19

    Rais wa Iran amesema Wamagharibi kamwe hawawezi kuwahadaa wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu kwa kutumia nara bandia za 'uhuru'

  • Zambia: Magendo ya binadamu yanatishia uhuru wa kusafiri Afrika

    Zambia: Magendo ya binadamu yanatishia uhuru wa kusafiri Afrika

    Dec 08, 2022 07:48

    Rais Hakainde Hichilema wa Zambia amesema magendo ya binadamu linasalia kuwa tishio kuu la uhuru wa kutembea na kusafiri kwa watu wa nchi za Afrika.

  • Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Russia yakataa masharti ya Biden kukutana na Putin

    Dec 04, 2022 06:09

    Siku ya Ijumaa, Ikulu ya Rais wa Russia, Kremlin, ilikataa sharti ambalo Rais wa Marekani Joe Biden alikuwa ameliweka kwa ajili ya mazungumzo na Vladimir Putin kuhusu mgogoro wa Ukraine na kutangaza kwamba mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine yataendelea.

  • Msemaji wa Rais wa Afrika Kusini: Ramaphosa hatajiuzulu

    Msemaji wa Rais wa Afrika Kusini: Ramaphosa hatajiuzulu

    Dec 04, 2022 03:32

    Msemaji wa Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ambaye yupo chini ya mashinikizo ya kutakiwa ajiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomzunguka amesisitiza kuwa kiongozi huyo hatoachia ngazi.

  • Raisi: Katiba inawadhaminia haki na uhuru wananchi wa Iran

    Raisi: Katiba inawadhaminia haki na uhuru wananchi wa Iran

    Dec 03, 2022 08:34

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ndiyo mdhamini wa haki na uhuru wa kisheria wa wananchi wa taifa hili.

  • Raisi: Ustawi wa Iran unawaghadhabisha maadui

    Raisi: Ustawi wa Iran unawaghadhabisha maadui

    Nov 24, 2022 08:09

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ustawi na maendeleo yanayoshuhudiwa hapa nchini yamewakasirisha mno maadui wa taifa hili.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS