Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Rais

  • Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC

    Rais wa Kenya atangaza vita dhidi ya waasi wa M23 wa DRC

    Nov 02, 2022 23:00

    Rais William Ruto wa Kenya ametangaza habari ya kutumwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanajeshi wa nchi hiyo ya Afrika Mashariki, kwenda kukabiliana na magenge ya wanamgambo likiwemo kundi la waasi la M23.

  • Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Ukosoaji mkali wa Putin kwa mauaji ya kigaidi ya shahidi Luteni Jenerali Soleimani

    Oct 29, 2022 07:45

    Akizungumza juzi Alhamisi katika Kongamano la Valdai, Rais Vladmir Putin wa Russia amekosoa mfumo na siasa za Magharibi na kueleza kuwa nchi za Magharibi zilimuua Luteni Jenerali Soleimani; katika hali ambayo shakhsia huyo alikuwa kiongozi rasmi nchini mwake na kuongeza kwamba Wamagharibi si tu hawajakana jambo hilo bali wanajifakharisha nalo.

  • Raisi: Shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu mjini Shiraz halitapita bila jibu

    Raisi: Shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu mjini Shiraz halitapita bila jibu

    Oct 27, 2022 04:46

    Rais wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itatoa jibu kali na la kujutisha kwa wale waliohusika katika shambulio la kigaidi dhidi ya Haram Tukufu ya Shah Cheragh mjini Shiraz, kusini magharibi mwa nchi.

  • Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Rais wa Iran aipongeza Iraq kwa kuchagua rais mpya

    Oct 14, 2022 04:26

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameipongeza serikali na wananchi wa Iraq, kufuatia kuchaguliwa na Bunge, Abdul Latif Rashid kuwa rais mpya wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Raisi: Uingiliaji wa maajinabi hauwezi kutatua matatizo ya Asia Magharibi

    Raisi: Uingiliaji wa maajinabi hauwezi kutatua matatizo ya Asia Magharibi

    Oct 13, 2022 23:45

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa uingiliaji wa madola ya Magharibi katika masuala ya ndani ya nchi za Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, uingiliaji huo kamwe hauwezi kuwa suluhu ya matatizo na changamoto za eneo hili.

  • Tangazo la Rais wa Tunisia la marekebisho ya sheria ya uchaguzi

    Tangazo la Rais wa Tunisia la marekebisho ya sheria ya uchaguzi

    Oct 09, 2022 06:52

    Ofisi ya Rais wa Tunisia imetangaza katika taarifa yake kwamba Rais Kais Saied, ameamua kurekebisha sheria ya uchaguzi wa Bunge la nchi hiyo.

  • Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran

    Kung'ang'ania Biden kuiwekea vikwazo vipya Tehran, dhihirisho la uadui kwa wananchi wa Iran

    Oct 06, 2022 05:47

    Rais wa Marekani, Joe Biden, siku ya Jumatatu ya tarehe 3 Oktoba 2022, alijitokeza hadharani bila ya haya na kuunga mkono machafuko na kuuliwa maafisa usalama na wananchi wa Iran katika vurugu za hivi karibuni.

  • Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Raisi: Iran iko tayari kuimarisha uhusiano na China katika kila uga

    Oct 01, 2022 08:35

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili wa Jamhuri ya Kiislamu na China katika nyuga tofauti.

  • Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita

    Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"

    Sep 26, 2022 08:06

    Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi.

  • Mahakama CAR yabatilisha amri za rais Touadera za uundaji jopo la katiba mpya

    Mahakama CAR yabatilisha amri za rais Touadera za uundaji jopo la katiba mpya

    Sep 24, 2022 09:36

    Mahakama ya Juu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imebatilisha amri za rais Faustin Archange Touadera za kuunda kamati ya kuandika upya katiba, jambo ambalo lilizua hofu kuwa kiongozi huyo anataka kuwania urais kwa muhula mwingine wa tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS