-
Mikrofoni yamnasa rais wa Korea Kusini akiwatusi wabunge wa US kwa kuwaita "wapumbavu"
Sep 26, 2022 08:06Rais Yoon Suk-yeol wa Korea Kusini amesema ripoti za vyombo vya habari kuhusu matamshi aliyotoa wakati wa safari yake mjini New York, si sahihi.
-
Mahakama CAR yabatilisha amri za rais Touadera za uundaji jopo la katiba mpya
Sep 24, 2022 09:36Mahakama ya Juu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati imebatilisha amri za rais Faustin Archange Touadera za kuunda kamati ya kuandika upya katiba, jambo ambalo lilizua hofu kuwa kiongozi huyo anataka kuwania urais kwa muhula mwingine wa tatu.
-
Hotuba ya Biden katika Umoja wa Mataifa na lawama zisizo na msingi kuhusu masuala mbalimbali
Sep 23, 2022 03:33Katika hotuba yake kwenye Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa siku ya Jumatano, Rais Joe Biden wa Marekani aliashiria masuala mbalimbali na kufafanua msimamo wa Washington kuhusu masuala hayo.
-
Rais wa Iran: Sitakutana na Biden katika mkutano wa UN, New York
Sep 17, 2022 23:21Rais wa Iran amesema hana mpango wa kukutana au kufanya mazungumzo na mwenzake wa Marekani, Joe Biden katika safari yake ya New York, anayotazamiwa kwenda kushiriki Mkutano wa 77 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA).
-
Upinzani wa marais wa Russia na China dhidi ya ulimwengu wa kambi moja
Sep 16, 2022 20:53Rais wa Russia, Vladimir Putin, alisema Alkhamisi iliyopita katika mazungumzo yake na mwenzake wa China Xi Jinping yaliyofanyika kando ya mkutano wa kilele wa "Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai" huko Samarkand, nchini Uzbekistan kwamba jitihada za kuunda ulimwengu wa kambi moja hazikubalika.
-
Rais Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani
Sep 16, 2022 06:59Rais Ebrahim Raisi amesema, mashirikiano ya kistratijia ya Iran na China ni ishara ya irada ziliyonayo nchi mbili ya kustawisha uhusiano wao katika pande zote na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani.
-
Rais Putin: Kampuni kubwa 80 za Russia kwenda Iran wiki ijayo
Sep 15, 2022 23:37Rais Vladmir Putin wa Russia amesema Moscow imefanya kila iwezalo kuhakikisha kuwa Iran inakua mwanachama kamili wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).
-
William Ruto aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Jamhuri ya Kenya
Sep 13, 2022 06:59William Samoei Ruto ameapishwa kuwa Rais wa tano wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Kenya (KDF).
-
Kwa nini Biden amekataa kuitangaza Russia kuwa ni nchi inayofadhili ugaidi?
Sep 08, 2022 22:15Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Marekani, White House, Karine Jean-Pierre alitangaza Jumanne wiki hii kwamba uamuzi wa Joe Biden wa kutoitangaza Russia kuwa ni mfadhili ugaidi ni wa mwisho.
-
Raisi: JCPOA itafufuliwa kwa kusuluhishwa masuala yaliyosalia
Aug 29, 2022 06:59Rais Ebrahim wa Raisi wa Iran amesema mapatano ya kufufua makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatafikiwa tu kwa kupatiwa ufumbuzi masuala yaliyosalia baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA.