-
Sensa Tanzania: Rais Samia atangaza tarehe ya kuhesabiwa Watanzania
Apr 08, 2022 08:36Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniza, Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi nembo ya sensa na kutangaza kuwa siku ya sensa ya watu na makazi nchini humo itakuwa Jumanne Agosti 23, mwaka huu 2022.
-
Sisitizo la Putin la kutazamwa upya siasa za kuuzwa nje bidhaa za chakula za Russia
Apr 06, 2022 21:26Katika hotuba aliyotoa siku ya Jumanne, Rais Vladimir Putin wa Russia amelaani mashinikizo yanayotolewa na nchi za Ulaya dhidi ya shirika la Gazprom, ambalo husafirisha gesi ya nchi hiyo kwenda Ulaya, na kutishia kuchukua hatua za kulipiza kisasi.
-
Rais wa Zambia hajapokea mshahara wowote tangu aingie madarakani
Apr 05, 2022 03:43Mijadala imepamba moto hususan katika mitandao ya kijamii baada ya kubainika kuwa Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, hajapokea mshahara wowote tangu ashike hatamu za uongozi miezi minane iliyopita.
-
Kikao cha wakuu wa NATO na kung'ang'ania msimamo wa kiuadui dhidi ya Russia
Mar 25, 2022 21:52Kikao cha dharura cha wakuu wa Jeshi la Nchi za Magharibi NATO kilifanyika juzi Alkhamisi mjini Brussels, Ubelgiji ambayo ndio makao makuu ya Umoja wa Ulaya. Katika siku za hivi karibuni, Brussels imekuwa mwenyeji wa vikao vitatu ambavyo ni cha wakuu wa NATO, cha G7 na cha Umoja wa Ulaya.
-
Rais wa Iraq: Jinai ya Halabja ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq
Mar 17, 2022 07:16Rais Barham Salih wa Iraq amezungumza kwa mnasaba wa kumbukumbu ya jinai ya silaha za kemikali ya Halabja na kusisitiza kuwa, jinai hiyo ni dhihirisho la mateso waliyopata Wakurdi na watu wote wa Iraq.
-
Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda aaga dunia akiwa na miaka 85
Mar 12, 2022 09:10Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85.
-
Kuwepo kwa wapiganaji wa kigeni katika vita vya Ukraine; mwelekeo na sura mpya
Mar 12, 2022 07:13Sambamba na kuendelea vita huko Ukraine, kuwepo kwa vikosi na wapiganaji wa kigeni kumevipa vita hivyo sura na mwelekeo mpya. Ni baada ya Rais Vladimir Putin wa Russia kuafiki suala la kuwezesha wapiganaji na vikosi vya kujitolea vinavyounga mkono nchi hiyo kushiriki katika vita vya Ukraine.
-
Mazungumzo ya simu ya Marais wa Iran na Russia
Feb 27, 2022 00:22Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Sayyid Ebrahim Raisi, na Rais wa Russia, Vladimir Putin, walifanya mazungumza ya simu Alhamisi iliyopita kuhusu masuala ya kimataifa na mazungumzo yanayoendelea huko Vienna kuhusu suala la kuondolewa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Iran.
-
Oparesheni ya kijeshi ya Russia nchini Ukraine, sababu na matokeo yake
Feb 24, 2022 07:30Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.
-
Rais Ebrahim Raisi: Gesi asilia itaunda mustakbali wa nishati duniani
Feb 22, 2022 09:31Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi Zinazouza Nje Gesi Asilia (GECF) kwamba gesi asilia inaunda mustakbali wa nishati ya dunia na ni chanzo muhimu cha nishati kwa ajili ya jamii.