-
Rais wa Tunisia avunja Baraza Kuu la Idara ya Mahakama
Feb 06, 2022 23:01Rais Kais Saied wa Tunisia ametangaza habari ya kulivunja Baraza Kuu la Idara ya Mahakama, huku msuguano mkali ukiendelea kushuhudiwa baina yake na mhimili huo wa dola.
-
Kukiri kutokuwa na taathira wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran
Feb 04, 2022 05:50Chris Murphy Seneta wa chama cha Democrat nchini Marekani amekiri kuwa vikwazo vya mashinikizo eti ya kiwango cha juu ya Marekani dhidi ya Iran havijawa na matunda wala athari yoyote kwa manufaa ya Washington.
-
Marais wa Iran na Ufaransa wajadili suala la kuondolewa vikwazo Tehran
Jan 29, 2022 23:56Rais wa Iran amesisitiza juu ya udharura wa kuondolewa vikwazo wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu, katika mazungumzo yake ya simu na mwenzake wa Ufaransa.
-
Mapinduzi ya Burkina Faso na mustakbali usiojulikana wa nchi hiyo
Jan 26, 2022 07:55Kundi la askari wa jeshi la Burkina Faso linalojiita Patriotic Movement for Safeguarding and Restoration chini ya uongozi wa Luteni Kanali Paul-Henri Sandaogo Damiba Jumatatu wiki hii lilijitokeza katika tevisheni ya taifa ya nchi hiyo likitangaza kusitishwa Katiba, kuivunja Serikali na Bunge na kumuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo, Roch Marc Christian Kabore. Wanajeshi hao walisema kuwa Burkina Faso sasa iko chini ya mamlaka yao.
-
Biden amtusi mwanahabari aliyemuuliza swali kuhusu mfumko wa bei
Jan 25, 2022 04:16Rais Joe Biden wa Marekani ameendelea kushambuliwa hususan katika mitandao ya kijamii kwa kitendo chake cha kumtukana vibaya mwandishi mmoja wa habari ambaye alimuuliza suali kuhusu mfumko wa bei za bidhaa unaoshuhudia nchini humo.
-
Jeshi la Burkina Faso lamuengua madarakani Rais Kabore, AU yatoa kauli
Jan 25, 2022 00:02Jeshi la Burkina Faso limetangaza kuwa limemuondoa madarakani Rais wa nchi hiyo Roch Marc Christian Kabore, sambamba na kuvunja Bunge na serikali.
-
Rekodi ya utendaji kazi ya Joe Biden, mwaka mmoja wa kuwa madarakani
Jan 21, 2022 23:09Rais Joe Biden wa chama cha Democrat aliingia madarakani mwaka mmoja uliopita mnamo Januari 20, 2021, huku akitoa ahadi nyingi, hasa za kubadilisha hatua zilizochukuliwa na mtangulizi wake, Donald Trump, Rais wa zamani wa Marekani wa chama cha Republican.
-
Rais wa Iran alegeza baadhi ya masharti ya kukabiliana na Corona, huku vifo vikipungua
Jan 16, 2022 00:02Rais Ebrahim Raisi wa Iran ameruhusu kuondolewa baadhi ya masharti na vikwazo vilivyokuwa vimetangazwa hapa nchini kwa lengo la kupambana na msambao wa ugonjwa wa Covid-19, huku idadi ya maambukizi na vifo vinavyotokana na maradhi hayo ikiendelea kupungua.
-
Rais wa Tunisia akosolewa kwa kuandaa bajeti bila kumshirikisha yeyote
Jan 15, 2022 07:39Muungano wa Wafanyakazi Tunisia (UGTT) umemkosoa vikali Rais Kais Saied wa nchi hiyo, kwa kutwaa mamlaka yote ya nchi, na kuandaa bajeti ya nchi yeye binafsi pasi na kuzishirikisha taasisi nyingine husika.
-
Spika wa Bunge, Mawaziri Wakuu wa zamani wa Tunisia kupandishwa kizimbani
Jan 07, 2022 23:19Spika wa bunge lililovunjwa la Tunisia na Mawaziri Wakuu wa zamani wa nchi hiyo watafikishwa kizimbani kwa tuhuma za kukiuka sheria za kampeni za kisiasa na kutobainisha vyanzo vya fedha zao wakati wa kampeni za uchaguzi.